Juma Nkamia: Ni nani wamiliki wa mitandao inayokashifu viongozi?

Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?

Kaka umesomeka vizuri sana,magamba watalia sana maana hawapendi kutuona tunapeana mawazo chanya humu jamvini. Kwani yeye hajui nini maana ya uhuru wa habari,aende zake na umasikini wake wa habari au alitaka tusubiri TBC watuletee zilizopitwa na wakati.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Pamoja na kuwa mtangazaji wa zamani Nkamia amedhihirisha alivyo wa hovyo. Kwani mitandao inafanya kazi kwa kificho au woga kama anavyodhania? Kwani Celtel ni mali ya serikali hadi isitoe matangazo kwa mitandao? Nkamia nenda shule ukaondoe hayo mawazo mgando yako.
 
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Inawekuje tuna wabunge vijana wenye mawazo ya kizamani hivi? Juma Nkamia na exposure yote bado analeta siasa za kizamani hivyo? Inasikitisha! Anayekashifiwa si aende mahakamani? Nini maana ya utawala wa sheria?

Mkuu ukitaka kujua huyu jamaa anasema hivi kwa sababu gani nenda kaulize TBC mambo yake unaweza kucheka hata kwanini anakuwa mbunge wa watu jimbo lake. Kuna kipindi hadi alifukuzwa kuepekwa mkoani kwa sababu ya utovu wa maadili kupita kiasi, inawezekana sana kuwa aanjua kwamba soon atakuwa victim ndio maana anaamua kuanza defensive mechanism mapema.
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.

Huyu jamaa ameongelea viongozi gani na hali ya jimboni kwake iko vipi kuna mwenye lolote la kutuelezea hapa tafadhali
 
hawa walizoea kupakwa mafuta na kusifiwa kinafiki, sasa wanaumbuka kwa kuwekwa hadharani wanachanganyikiwa na kuweweseka. Hii ni karne nyingine kabisa si enzi za chama kimoja
 
yaani this joker can be a member of parliament?

sasa anauliza nini kama sio kujiabisha?

hao waliomchafua alijaribu kuwasiliana nao ili wamuelekeze office zilipo?

maswali mengine kwa mtu anayejiita mwanahabari ni kujivua nguo
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.

Wanachama wapendwa wa mtandao pendwa sana wa JF nawaomba musiwe na jaziba katika suala hili. Sifikiri kama Mh. Nkamia alikuwa anamaanisha matandao wenye kisima cha busara, Jamii Forumn. Kama alikuwa anamaanisha JF, the ground of Great Thinkers, basi atakuwa hayuko sahihi na atahitajii kuelimishwa matumizi ya miatandao katika wakati huu wa sayansi na teknolojia. Pia nakumbua Nkamia alikuwa mtangazji, hajui umuhimu wa mitandao kweli. Mwhisho kabisa, Wabumge ambao ni members kama HK wachukue jukumu maalum la kumuelimisha yeye na wengine wote wenye wasiwasi na mitandao ya jamii.

Lives forever JF
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.
Hawa ndio wabunge waliofilisika kabisa. Wewe umetumwa na wananchi bungeni kutetea maslahi yao leo pasipo aibu kabisa unasimama na kuweka hoja ya kwausaka wananchi walokutuma kwa sababu unataka kuonyesha mlinzi wa rais na viongozi..whose side are You on?
Mijitu mingine bana khaa!
 
Mbunge Juma Nkamiya amehoji ni nani wa miliki wa mitandao inayokashifu viongozi.

Mbunge huyo amehoji jioni hii wakati bunge limekaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia. Kasema mitandao hiyo ina matangazo ya Airtel na Vodacom hivyo serikali ianzie huko kusaka wamiliki.

Waziri kasema wamiliki wapo Tanzania na nje ya Tanzania, hata hivyo serikali ina chombo maalum ambacho kinafuatilia mitandao hii.
Hajiamini huyo ndio maana kapata kigumizi kuitaji JF,ndio ujinga wa hawa wabunge wa magamba hayo ndio matatizo aliyotumwa na wapiga kura wake????
 
Yan hawa ukweli wanaita matusi.

Mtu kama nkamia ni pumba t.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom