Kibona
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,023
- 652
Nashindwa kukuelewa unasema amepanga kufanya mkutano mda ambao wakristo wengi watakuwa makanisani halafu unasema lengo ni kuzuia kundi la H.R ina maana wakristo wengi wanamuunga mkono H.R?Taarifa zilizonifikia Punde zinaonyesha kuwa Julius Mtatilo ni Kundi la Maalimu seif na aliye mshawishi Kuingia CUF ni Ismail Jussa!!!
ismail Jussa alitumwa na Maalimu seif kumutafuta Julius Mtatilo Wakati yupo UDSM kama maandalizi ya kumupata Mkristo wa Kumurithi Wilfred Lwakatare wakati Njama za Kumuondoa zimekamilika Kupitia Blueguds.
Maalim Seif amemuweka Mtatilo hapo Kama Kinga kwani anajua Waislamu CUF hawawezi kumushambulia Kuogopa UDINI!!!
Hata hivyo zipo taarifa kuwa maandamano ya kumtaka Mtatiro ajiuzulu yamepamba Moto na Jumatatu ijayo fika Makao Makuu ya CUF uone mapambano mapya !!!
Maalimu seif amepanga kuongea n a Wana CUF mkoa wa DSM siku ya Jumapili katika Hotel StarLight ambapo Wakristo wengi watakuwa Makanisani na Ukumbi huo ni Mdogo kiasi cha kuzuia wengine wasiingie!!!
Hofu yote hiyo ni kuzuia kundi la Hamad Rashid!!