Jukwaa la kutajana-tajana majina...

wapi twin Princess Enny miss u so much,shemeji wa kula bata Zubedayo michuzi na dada wa ukwee ....Arabela,dady Mentor na mumy cathy,cousin charming lady tumekuumiss tayari,aunt baibe nasty,bibi Mandeny,madame B,kungwi Gfsonwin,na marafiki wote figanigga,billie,phina,sangija,the boss mtakatifu paka mweusi na wengine wengi mwaaaah!!!!!
 
Mdogo wangu beibe nasty upo?
Mwambie mtoa mada thread bila kutajana majina hainogi,
wapi Papaa Msofe,wapi kesi yako yaendaje,motema na ng'ai mithili ya washawasha,washawasha e,eee!
Yebaa!!
ruttashobolwa u wapi mutu ya watu,wakuache miaka mia moja,wapi Invisible mutu ya Jf,

Wapi Paw mutu ya kucharaza bakora za ban kwa wabishi,japo ban inauma .

Wapi Erickb52,wapi mwnfnz wng Kaizer,
wapi charminglady mutu ya kuchimba biti ya kuondoka Jf,Jf hatoki mtu,
wakati ndio sasa umefanikiwa?
Asante ndugu mtangazaji.

Haaaaa mwal wangu Madame B hebu wakuacheee miaka
Mia moja!l
Lol
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaa! kwani kutajana napo crime eee?? Mphamvu ckuoni nowdays, lol, my hubby Asprin marufuku kutajana kuanzia sasa, wake wenzangu Yummy na BADILI TABIA mi luv u! sweetlady nakumiss mno, vp kadogoo?? Kongosho asali ya hubby wetu we luv u! charminglady plizzzzzz come bak, already tunakumiss, mashemeji zangu, Kaizer, KARIA, Rejao, klorokwini, TANMO, wapekuzi maarufu Erickb52 na Young_Master salamu kwenu! CUTE u r also lost toka Ruhazwe JR akupende kisirisiri! gfsonwin my dada wa moyoni, mwahhhhh! Erotica na twins wako hope mpo sawa, mashostiso Kaunga, Zinduna, Smile, Chauro, Cantalisia, Mwali mi luv u loads! ili kufanikisha zoezi Madame B uwe kiranja! wadogo zangu Ronn M na Excellent muwe good boys plzzzzzz! Eiyer tunza ubikira wako unalipa sana! Roulette kuanzia sasa watakaotajana toa ban, lol! mwahhhhhhhh kwa chit chatters! morning to u guys!

ujumbe no mo kutajana! lol!

mkemwenza cacico miss u n love u, hubby Asprin mwaahhhhh, leo zamu ya Yummy kuwa nawe.... Cantalisia mama ya Rejao hujambo? Buchanan nikinywa maji nakuona kwenye glass, Fang naomba unifundishe kiinglish,
TANMO mbona hunipi jibu langu? au mpaka nikuandame kama Wakati ni sasa alivyomuandama charminglady?
Bishanga, bepari la kihaya ushamaliza mkopo? au nikukopeshe ukalipe benki? Kongosho my dear kesho usisahau kumuandalia hubby chai ya tangawizi, Erotica twins wanaendeleaje?

Judgement kipenzi cha beibe nasty hujambo?
Kaizer my shem wewe na mkeo gfsonwin na mwanenu Ronn M hamjambo?

@figanigga mzee wa mia ushajitoa jf?
Kaunga na Eiyer mpo? Excellent umepotea sana mkuu, Zinduna vipi mambo? Erickb52 haujarudi tu huko uliko au Amyner kakupiga biti?
cutie habari yako, Madame B na madame X mnanimix mjue..
Mamndenyi ulishakubali ombi la Arusha one?
DaJane na robrt naniliu vipi?
yoyo jukwaa la mabongo lala limekumiss halafu mtoa mada acha uzushi...

Hahahaaaaaa wake wenza mmenichekesha mbayaaa......hamjatulia hata kidogo. Naona jamaa kanogewa na yeye anataja majina au alikua anahamu ya kutajwa??lol

Wapi Bishanga jamani?nani kanionea.......:lol:
 
Last edited by a moderator:
wapi twin Princess Enny miss u so much,shemeji wa kula bata Zubedayo michuzi na dada wa ukwee ....Arabela,dady Mentor na mumy cathy,cousin charming lady tumekuumiss tayari,aunt baibe nasty,bibi Mandeny,madame B,kungwi Gfsonwin,na marafiki wote figanigga,billie,phina,sangija,the boss mtakatifu paka mweusi na wengine wengi mwaaaah!!!!!

Nipo Eversmilin Gal wa ukwenhe!!
Nadondosha salamu pia kwa
Wale wote wanaotaka kuingia kwenye ndoa bila kujiandaa,(wanajijua)

Wale walioolewa mitala,(wanajijua)

Wale wanaofukuzia mademu wakati hawana mpunga mifukoni,(a/wanajijua)

Wale wanaolewa biere mpaka wanarudishwa kwao na mikokoteni huku wakisindikizwa na nyimbo za Msondo Ngoma,(wanajijua)

Wale wanaobania kutoa Like na wale wanaolala mzungu wa nne japo wako kwenye ndoa(wanajijua)

SALAMU KWENU ZIWAFIKIE.
Bila kuwasahau wale woote wanaopenda Mademu wenye 'konzi'.

UJUMBE:
Twende Mbele Na Kurudi Nyuma UKIMWI Umekaa Pabaya Jamani
 
Last edited by a moderator:
morning sweetie? Nasikia mathematics alitaka kajinyonga, mwambie Aspirin kama ana taarifa hizo atuwekee na picha ya tukio.

Bora ajinyonge babuwe atupishe tujilie vyetu, maana tunanyang'anyana pumzi tu duniani bila sababu.
Sijambo hubby kipulizo changu ruttashobolwa.
Subiri Babu atamtundika hewani mda si mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Mi nimeona hapo tuuu baaaaasi!!! Popote ulipo Yummy my second wife, come this way mammy....

attachment.php

Sweetheart ,darling, mahabuba, baby, cutiepie, laaziz, honey, sugar, swahiba, my sweet boy, sexy ODM, my prince, MR PERFECT..............I am here boo niambie nini wataka nikufanyie siwajua leo zamu yangu nimeanza kutayarisha mazingira mapemaaaaa
 
Mdogo wangu beibe nasty upo?
Mwambie mtoa mada thread bila kutajana majina hainogi,
wapi Papaa Msofe,wapi kesi yako yaendaje,motema na ng'ai mithili ya washawasha,washawasha e,eee!
Yebaa!!
ruttashobolwa u wapi mutu ya watu,wakuache miaka mia moja,wapi Invisible mutu ya Jf,
Wapi Paw mutu ya kucharaza bakora za ban kwa wabishi,japo ban inauma .
Wapi Erickb52,wapi mwnfnz wng Kaizer,
wapi charminglady mutu ya kuchimba biti ya kuondoka Jf,Jf hatoki mtu,
wakati ndio sasa umefanikiwa?
Asante ndugu mtangazaji.
umepangilia vizuri.
 
Kwanza niandalie msosi wowote ule kati ya hii...

420905_10150587515886375_569071374_9265364_872143405_n.jpg

Halafu Tinga kile kivazi nlokununulia Dubai

attachment.php

Tukajirushe kabla hatujarudi kuja kutengeneza baby boy... Si unajua Madame B anachonga sana juu yetu.....
 
Ahahaahahaaaahaha uwiiiiii my dada madame b nimetoa chozi kwakucheka hapa nilipo watu wote wamebak ntazama mimi. Heehehehehehehehe wapi st.paka mweusi mzee wa kujitia uchiz, wapi finagafinaga hujasepa tuuu?
Hahaaa utajuuuta mphavu leo wapi excellent umesusa baada ya mim kutoweza reply request nielewe situmii dadavuzi mpkatoo.heeee dozeedozeeee ndombolo ya soroo
 
Baby boy???
Una ubavu huo Asprin.
Meishi miaka mia bila chata,eti unalelewa.
Acha hzo,na wakezo waliobaki.?
 
Last edited by a moderator:
Ahahaahahaaaahaha uwiiiiii my dada madame b nimetoa chozi kwakucheka hapa nilipo watu wote wamebak ntazama mimi. Heehehehehehehehe wapi st.paka mweusi mzee wa kujitia uchiz, wapi finagafinaga hujasepa tuuu?
Hahaaa utajuuuta mphavu leo wapi excellent umesusa baada ya mim kutoweza reply request nielewe situmii dadavuzi mpkatoo.heeee dozeedozeeee ndombolo ya soroo

Ndio beibe nasty,
namna hyo.
Mpaka ma-Mods wajue ChitChat kuna Vichwa wa kutuma salamu.
Wapi pedeshee Kikwete mubaba wa Bagamoyo,mume halali wa Salima,
Mbona huonekani Jf.

Wapi pedeshee kifaranga mutoto ya kuku,
Wapi mwenyewe hapa Madame B pedeshee wa kike Bongo nzima.
Wapi papaa Mopao Mzee wa kuvaa moka.
Wapi LeBilali Mashauzi,chakula ya watu.
Kanga Moko mpoo?
Madada wa ku-vaibrate.
Wapi...wapi...wapi..
Naomba niishie hapa nahs :ban: nikijifanya natuma salamu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom