Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

Mimi kwa mtazamo wangu nadhani kuna yanayoendelea kati yao ndio maana ikawa JOKATE .....! Asiwe mwingine yoyote..!
 
Hawa macelebrity wa bongo wana mtindio wa ubongo au wamelogwa? sasa ndio nini na yeye hiyo ndio?!!! that's is too low for u oops!! for me agrreerrrrrr?
 
Ka Diamond ni too low kwake, je raia wa hivihivi 4th class ka wakina sie tuliokuwa tunamfikiria ndo anatuitaje sasa?!
 
Kuna msemo huwa una click kichwani mara nyingi "mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!" nafsi yangu huwa sometimes inapinga hili lakini Jokate anaanza kunilazimisha kuamini maneno haya! Binafsi the way nilivyokuwa namuheshimu Jokate inasikitisha anakoelekea huu umaarufu! Anapita njia zile zile za umaarufu usio na staha! Hebu soma hata maandishi yake hapo juu, you can smell something not "that" Jokate we used to know!

Aliyebaki kama mwanadada aliyelinda heshima yake mpaka sasa na ambaye kwangu ni mfano wa kuigwa ni IRENE NGOWI! Huyu binti akiwa ameshinda shindano la face of afrika na kupata pesa na mkataba wa nguvu still alibaki na heshima ya pekee.

Kipindi akisoma Makongo alikuwa anatembea kwa miguu Mwenge mpaka Makongo na kurudi ingawa angeweza kuja na gari! Sketi ya shule ilikuwa ndefu na yenye staha! Aliondoka pale Makongo na heshima nyingi mpaka waalimu wote walimpenda na mpaka leo huyu binti amebaki na heshima yake na maadili ya wazazi wake! Irene Ngowi atabaki kuwa Celebrate wa pekee hapa Tanzania!
Mwanakwetu hebu tupe dossier zaidi ya huyu Irene Ngowi, mmoja wa mabinti wenye heshima, maana wengine ni makapi matupu.
 
Haka ka Diamond kanaonekana kazi yake ni kuchafua warembo tu. Kamwiki kake kamejaa upele na ukurutu, sura kama Chakubanga lakini kila mrembo aliye top tunaambiwa kamemchezea. Kimapato huyu dogo bado hana senti kwa vile anakaa nyumba ya kupanga Sinza Madukani ambako ni makazi ya middle class.

Nikimlinganisha na wasanii wengine wa bongo lavour na hip hip sioni kama ana mkwanja wa maana. Hata Mr Nice alitengeneza fwedha ndefu kuliko nice lakini hakuweza kushobokewa na mademu wakali kama Diamond. Inawezekana labda Diamond kwa ule muonekano wake wa kimbagala mbagala anatumika tu kuwachafua wengine (ukiacha Wema) au basi ni promo ya video music yake
 
Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema ya kumchukulia Diamond na nukuu...

"Mie nimpore Wema Diamond, that is too low for me ingawa Diamond alionyesha interest but I have one and only one in my life, Hate me or love me I am not that low"


attachment.php


NAWAKILISHA

Hili bifu sijui Diamond anatuchezea akili ili auze single yake hii /Diamond_-_Nimpende_Nani/

Na katika SHOW huko Uingereza Diamond hivi karibuni alisimamisha show ghafla na kuwaomba mashabiki "Mwamtaka naniiiiii JOKATE ay WEMAAA nichagulieni" watu wakalipukaaaaa JOKATEEEE then akaendelea na song lake hili jipya analomponda WEMA

Huyu jamaa wa Jokate ni vipi? Mbona kama namwonaga pale Sinza kijiweni? Mwenye Dossier yake atujuze.
 
Ngoja me niendelee kula watoto wangu wa kiispaniola hapa madrid..hao vinuka mkojo waendelee kuwaumiza vchwa akna diamond.
 
Back
Top Bottom