Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

attachment.php
 
Wema 'mcharuko'-Blue,TID,Jumbe,Chalz Baba,Kanumba,Komba,Diamond VS Jokate 'silent killer'-AY,Mwana Fa,Hermy B(marafiki hawa)Mengi,Ruben,Hasheem,madingi wa kwenye mabenki(crdb,cba),Diamond....hawa wanafanana,kinachowatofautisha ni namna wanavyoweka ishu zao,Wema anaweka kila kitu adharani..Jokate ishu zake kmya kmya....ila wote vicheche visivyofaa.
Simuamini Jokate hata kidogo.....kuna mambo yake ya chini chini nayafahamu aisee ni noma bora ya Wema anajionyesha hadharani.....
 
Kama wewe ni mkweli, utuambie role yako katika lile mande ilikuwa nini?

BTW Unasubiriwa kwenye debate ya kiingereza jukwaa la Chit chat.
Mtanange mkali baina yako na Kiranga.




kiranga mzee wa dictionary!!!ngoja nikadese tu-vokabulari tupya aisee!senkyu waridi jeusi for this very uziful posti
 
Mpwa umewahi rusha ndoano nn hapo?
Noo mpwa....mshikaji wa karibu alikuwa anakula ile manita tongue kiss na mauchafu mengine tena mbele za watu usiku usiku lakn huyo demu akiulizwa na wenzake mshikaji akiwa hayupo anaruka mile 10000......
 
Noo mpwa....mshikaji wa karibu alikuwa anakula ile manita tongue kiss na mauchafu mengine tena mbele za watu usiku usiku lakn huyo demu akiulizwa na wenzake mshikaji akiwa hayupo anaruka mile 10000......

Watu maarufu mm siwaamini kabisa wanakumbwa na dhoruba kibao.
 
Binafsi nimemshusha hadhi na kujitoa ktk fans wa Diamond coz kaonesha ushamba wa mapenzi sana. Ni mtazamo wangu binafsi
 
Kuna msemo huwa una click kichwani mara nyingi "mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!" nafsi yangu huwa sometimes inapinga hili lakini Jokate anaanza kunilazimisha kuamini maneno haya! Binafsi the way nilivyokuwa namuheshimu Jokate inasikitisha anakoelekea huu umaarufu! Anapita njia zile zile za umaarufu usio na staha! Hebu soma hata maandishi yake hapo juu, you can smell something not "that" Jokate we used to know! Aliyebaki kama mwanadada aliyelinda heshima yake mpaka sasa na ambaye kwangu ni mfano wa kuigwa ni IRENE NGOWI! Huyu binti akiwa ameshinda shindano la face of afrika na kupata pesa na mkataba wa nguvu still alibaki na heshima ya pekee.kipindi akisoma makongo alikuwa anatembea kwa miguu mwenge mpaka makongo na kurudi ingawa angeweza kuja na gari! Sketi ya shule ilikuwa ndefu na yenye staha! Aliondoka pale makongo na heshima nyingi mpaka waalimu wote walimpenda na mpaka leo huyu binti amebaki na heshima yake na maadili ya wazazi wake! Irene Ngowi atabaki kuwa Celebrate wa pekee hapa Tanzania!

sure thing aiseee, yule dada bwana, me mwenyewe nampendaga sana, yaan katika wastaarab ambao ni watu maarauf, yule anaongoza Tanzania nzima, yu wap jaman
 
Back
Top Bottom