Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

IMG_4229.JPG

JOKATE na JLO wa Bongo

JLO wa Bongo ndio nani? sisi wenzako washamba!
Hujatupa dossier ya huyo wa moyoni mwa Jokate
 
Wema 'mcharuko'-Blue,TID,Jumbe,Chalz Baba,Kanumba,Komba,Diamond VS Jokate 'silent killer'-AY,Mwana Fa,Hermy B(marafiki hawa)Mengi,Ruben,Hasheem,madingi wa kwenye mabenki(crdb,cba),Diamond....hawa wanafanana,kinachowatofautisha ni namna wanavyoweka ishu zao,Wema anaweka kila kitu adharani..Jokate ishu zake kmya kmya....ila wote vicheche visivyofaa.

i think in short Wema ni professional na Jocate ni armature kwa ishu ya kugawa "mpango"
 
Wema 'mcharuko'-Blue,TID,Jumbe,Chalz Baba,Kanumba,Komba,Diamond VS Jokate 'silent killer'-AY,Mwana Fa,Hermy B(marafiki hawa)Mengi,Ruben,Hasheem,madingi wa kwenye mabenki(crdb,cba),Diamond....hawa wanafanana,kinachowatofautisha ni namna wanavyoweka ishu zao,Wema anaweka kila kitu adharani..Jokate ishu zake kmya kmya....ila wote vicheche visivyofaa.
hapo siongezi neno maswagga mie
 
Jacate hakuweza jificha kwenye ukuta wa "net ya mbu" siku zote...tusishangae sana wasichana wengi al-maarufu hapa mjini ndivo walivyo...cheap publicity
 
Ka Diamond ni too low kwake, je raia wa hivihivi 4th class ka wakina sie tuliokuwa tunamfikiria ndo anatuitaje sasa?!

dah!umenisikitisha mpwa!kwahiyo anapong'oa diamond wewe huyawezi hayo maji?dah.....tunatofautiana!
 
Kuna msemo huwa una click kichwani mara nyingi "mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!" nafsi yangu huwa sometimes inapinga hili lakini Jokate anaanza kunilazimisha kuamini maneno haya! Binafsi the way nilivyokuwa namuheshimu Jokate inasikitisha anakoelekea huu umaarufu! Anapita njia zile zile za umaarufu usio na staha! Hebu soma hata maandishi yake hapo juu, you can smell something not "that" Jokate we used to know! Aliyebaki kama mwanadada aliyelinda heshima yake mpaka sasa na ambaye kwangu ni mfano wa kuigwa ni IRENE NGOWI! Huyu binti akiwa ameshinda shindano la face of afrika na kupata pesa na mkataba wa nguvu still alibaki na heshima ya pekee.kipindi akisoma makongo alikuwa anatembea kwa miguu mwenge mpaka makongo na kurudi ingawa angeweza kuja na gari! Sketi ya shule ilikuwa ndefu na yenye staha! Aliondoka pale makongo na heshima nyingi mpaka waalimu wote walimpenda na mpaka leo huyu binti amebaki na heshima yake na maadili ya wazazi wake! Irene Ngowi atabaki kuwa Celebrate wa pekee hapa Tanzania!

Current news zake unazijua lakini au unamsifia tu??? Kwa taarifa ndogo tu ni kuwa sasaivi kazaa na mme wa mtu. Do u call that heshima?
 
Current news zake unazijua lakini au unamsifia tu??? Kwa taarifa ndogo tu ni kuwa sasaivi kazaa na mme wa mtu. Do u call that heshima?

Ndege wajanja, always wanaishia kwenye tundu bovu.
Ukishangaa ya Jokate, utastaajabu ya Irene Ngowi
 
Back
Top Bottom