SON OF DAVID
Member
- Apr 1, 2011
- 42
- 3
Zitto mwanachadema damu.mnao msumbua mnalenu jambo.
Kafanya baya gani ndani ya chadema?
1Zitto na kamati yake wote walikula posho mbili iliyofanya Bunge lishindwe kumwondoa Hosea wa TAKUKURU. Kwa hiyo, TAKUKURU saa yoyote inaweza kumkamata zitto ikitaka. For the time being ccm anafanya vile vitu serikali imekubali afanye. Akitoka anakamatwa zitto kama anabisha akanushe hili hapa. Hafai kuwa mkiti wa chadema na hatakuwa.
2 Zitto alikuwa na mawasiliano ya kila na jack Zoka n
Naiku mkurugenzi wa usalama wa Taifa, WATU walituhumiwa kuiba kura za Dr Slaa . mawasiliano yao yalikuwa ktk kipindi chote cha uchaguzi. Hakuhuhudhruria hata uzinduzi wa kampeni za CHADEMA. Aje kuwa MKITI WA CHADEMA? nO WAY. Akiwa mkiti narudisha kadi ya chadema maana na yenyewe itakuwa ccm b.
3 Mwana halisi lili ripoti mawasiliano ya simu kati yake Rostam, hakubisha. Alinunuliwa gari na Rostam. analo hadi sasa.
4 Zitto anajiandaa kuibomoa nccr wakati wo wote ili aende nccr. Hawezi kuwa mkiti wa chadema.
5 Amehongwa nyumba na Shirika la NSSF maeneo ya tabata ndo maana aliwapigia debe ktk kamati yake ili wapewe mgodi wa kiwira nani asiyejua? Tuulilze sisi tunaofanya kazi NSSF.
Muda wangu umeisha ukitaka nitarudi siku nyingine.