John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

maandamano sio kila kitu
unahitaji a 'leader'
kuongoza watu na sio wahamasishaji wa maandamano...
Kama wanavyofanya akina mbowe wanaongoza na kufanya maandamano inapotakiwa. kama mbowe angekuwa anahamasisha maandamano muda wote rais wenu asingekuwapo madarakani sasa.
 
Mnyika anaonekana kuwa kiongozi mzuri lakini anahitaji muda tuweze kumchunguza zaidi maana hata zito mwanzoni alikuwa anaonekana mzuri lakini his true colours are now displaying doubts. Na chadema inatakiwa kujisifu kuwa kwasasa kinae mwenyekiti makini kuliko wote waliowahi kutokea ktk upinzani. Mbowe amefanya kazi kubwa kuijenga Chadema na ccm wanaomba sana mbowe aondoke ndo maana vibaraka wao wanapigia kelele sana suala uchaga ndani ya chadema kitu ambacho hakipo. Chadema wajipange kumtafuta atakae endeleza na kuzidisha dozi aliyoitoa mbowe. Bravo! mbowe mungu atakulipia!!!
 
Indeed, wazee wa Dar wanajulikana mkuu

Labda kama utaita wazee wa moshi ndio utaona makoti na zile vipande vya nguo kulalia kama anayovaa Slaa
Na hapa ni Bagamoyo kwa wakwerre, ushaidi mzuri angalia huo mbuyu, hizi ndio faida za kupewa ubwabwa halafu watoto wenu wanasoma kwenye mazingira haya, hapa tunazalisha kundi la wajinga kama baba zao, kazi kucheza bao na kunywa kahawa.
390332_121033101342049_100003060783008_118314_416720437_n.jpg
 
Nyie wachangiaji humu ndani mnamalengo mabaya na hiki chama kwani hoja za kitoto kama hizi zina madhara makubwa sana ndani ya chama.yani mmeanza kuleta mabishano ya nani awe nani wakati wa kipindi hichi,kama nyie ni wanachama wa cdm sina budi kuwaita you r 'bogus.'
 
Naona kwenye suala hili watu wanaendeshwa na hisia zaidi kuliko kutazama hali halisi, suala la Mnyika kuwa mwenyekiti bado sana na sidhani kama Mnyika ameishapitia mikikimikiki ambayo inamfanya tumuone politically strong kusimama na kuendeleza chama kwa hali ya kisiasa iliyopo nchini sasa hivi
Kwa mtazamo huo siasa zetu hazitakuja kutuletea positive expections hata siku moja, tutawalazimisha the opportunist politicians waendeleze tabia ya kuibua migogoro isiyo na ulazima ili kutengeneza mazingira ya kuishiriki na kuipitia hiyo mikiki mikiki.
Na kwa mtazamo huo huo tutajikuta bila ya kudhamiria tukiwapuuza the smart Politicians ambao wana upeo mkubwa wa kuona kabla na kuizuia hiyo mikiki mikiki isiyo na ulazima.
 
hoja ni nzuri,na licha tu ya kuundoa uchaga lkn pia zitto nae ana nafasi nzuri ya kuuondoa hisia za udini,i think either of the two ie mnyika au zitto chadema itaendelea kuwa ni chama imara sana.
 
Jamani huyu Mnyika hata mimi namkubali sana, kwa kweli ananifurahisha kwa jinsi anavyofanya siasa. Anaonyesha kuwa makini sana katika maswala yote. Naunga mkono hoja awe mwenyekiti lakini asubiri kwanza kugombea uraisi.
 
Nyie wachangiaji humu ndani mnamalengo mabaya na hiki chama kwani hoja za kitoto kama hizi zina madhara makubwa sana ndani ya chama.yani mmeanza kuleta mabishano ya nani awe nani wakati wa kipindi hichi,kama nyie ni wanachama wa cdm sina budi kuwaita you r 'bogus.'
 
Kwakuwa kwa sasa bado tunavuana magamba,sichangii...ila tutakuja huko si muda mrefu na makamanda wangu 6,membe,m'kembe,ndosa n.k najua mtakuwa na wigo mpana wa kuchagua m'kiti subira huvuta heri.
 
mhhh politics bana kwa mtazamo wangu ni mapema sana kuanza kujadili nafasi ya m.bo.o.o weeeeeeeeeeeee CDM!
 
Back
Top Bottom