John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

rais asiyejua kwa nini nchi yake ni
maskini wakat ina raslimaki kibao
huo sio udhaifu? Foleni za magari
jijin dsm rais anasema eti hayo ni
maisha bora! Huo sio udhaifu??
Kumteua mgonjwa mahututi kuwa
wa wazir asiyekuwa na wizara
maalumu isiyo na ofisi! Huo sio
udhaifu?? Brother mnyika we si wa
kwanza kusema kikwete ni
dhaifu.hata nyerere alishawah
kusema 95 kwamba 'hatumchagui
m2 awe rais kwa sura yake.kwa
sababu haendi kuwa rais wa mamiss
2nataka rais mchapa kazi na
muadilifu'
 
rais asiyejua kwa nini nchi yake ni
maskini wakat ina raslimaki kibao
huo sio udhaifu??4leni za magari
jijin dsm rais anasema eti hayo ni
maisha bora! Huo sio udhaifu??
Kumteua mgonjwa mahututi kuwa
wa wazir asiyekuwa na wizara
maalumu isiyo na ofc! Huo sio
udhaifu?? Brother mnyika we si wa
kwanza kusema kikwete ni
dhaifu.hata nyerere alishawah
kusema 95 kwamba 'hatumchagui
m2 awe rais kwa sura yake.kwa
sababu haendi kuwa rais wa mamiss
2nataka rais mchapa kazi na
muadilifu'


 
Mh Mnyika kila siku ananipa sababu ya kutojutia uamuzi wangu wa kutoka Shinyanga na kwenda Ubungo kumpigia kura.Aliyoyasema ni ya kweli na kwa sababu siku zote ukweli unauma na umewauma kweli kweli.Kafulila alitoa kauli kama hii hii mwaka jana kwa kusema serikali ni legelege na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa juu yake na hakuelekezwa kufuta kauli.Mnyikaa aluta kontinyua mpaka kieleweke.
 
amiri jeshi mkuu ambaye hajui ulinzi wa nchi yake , ndege ya kijeshi ya taifa jingine inatua na kuondoka na nyara za serikali bado yeye hajui huu ni UDHAIFU kupita kiasi
 
we hijawahi kuona refa anatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu mojawapo uwanjani then akijishtukia aliboronga anasawazisha kwa kutoa penati kwa timu pinzani? Kwa kifupi hakuwa fair kwa kuwaacha lusinde na nchemba waliotukana jana na leo bila ya kuwaadhibu; hii siyo mara ya kwanza spika kulalamikiwa kwa kupendelea wabunge wa ccm hata kwa mambo ya kipuuzi. Taasisi ya uraisi ndo kitu gani mbele ya maslahi ya walioiweka madarakani????

kaka umenigusa hata mie huwa nashangaa eti kuna mambo machafu yanafichwa kwa maslahi ya nchi sasa utajiuliza ni machafu gani hayo yenye maslahi ya nchi...swala hilo pia ni kutojali maslahi ya waliowaweka viongozi kuwatumikia.

Khs...leo mie nakua namawazo lbd aliona afunike tuu kombe maana lukuvi alishachemka..kwa mawazo yangu ndgugai alitaka kupotezea isiwe issue kubwa sasa lukuvi akadakia matokeo yake ikabidi ndungai apoze kwa kifungu kimoja tuu maana angetumia na cha pili mnyika mass ingesubiri kwa hamu utetezi wake na pengine wangejidhalilisha zaidi ni wazo lkn
 
Tutamkumbuka huyu ****** kwa mengi. Jamaa hajui hata kusoma na kuandika. Angalia 2cp4020.jpg 100_1741.JPG
 
kama sio dhaifu mbona inflation ni 30%!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona anaanguka kwenye majukwaa!!!!!!! Mbona mafisadi wanadunda!!!!!!!!! Mbona kawashindwa Andy na Eddo!!!!!!!!!!!
 
Kutokana na michango ya hapa JF, inaelekea hayo ndiyo yalikuwa mawazo ya Watanzania wengi ila hawakuwa na ujasiri wa kulitamka hilo neno mpaka kijana John Mnyika alipojitoa muhanga na kulitamka hilo neno!!
 
Hii tabia ya CCM kuto kukubali ukweli wameitoa wapi? wanataka waje waamini wakiwa Segerea wana nyea debe?
 
Kumtoa Mnyika bungeni hakuwezi kumfanya Rais dhaifu JK awe imara, still ni dhaifu kwa kila hali management wise, sishangai hata hela zake za kuvinjari nje zimeibwa, anaiba mpaka anasahau nyingine ziko wapi.

Asante Mnyika kwa kusema ukweli, endelea hivyo Mungu atakubariki
 
Mimi kamusi yangu inasema kuwa,,,dhaifu,, sio tusi ,,,? Nashangaa vibaraka wa ccm walivyo wababaishaji,, wanang'anga'na ooo h ati oohoo mmemtukana rais,,,!!! Kweli jamani ... Huu ni uonevu kwa mheshimiwa mnyika!!
 
Back
Top Bottom