Job Ndugai asema wabunge wa bunge la jioni hawako sawa, walevi!

Nadhani yeye ndio atakuwa mlevi kuongea maneno kama yale.

Ruta,

Ni kweli ukiwa umelewa unafikiri wote wanaokuzunguka wamelewa! This sounds good. Udhaifu mkubwa wa CCM
ni kuwachagua viongozi wapuuzi kama Agwe Job Ndugai! Akiwa Naibu Speaker hakupaswa kulalamika Star Tv kwamba Wabunge ni watoro, walevi, wanavuta bangi au kubwia unga.

Kwa kuanzia angenunua gadgets za kupima Wabunge wanapoingia kwenye Bunge. Sasa kulalamika inasaidia nini. Alipaswa kuja Star Tv na mkakati wa kukomesha yaendayo ndio sivyo.

Just imagine John Lukuvi an ex standard 7 failure anasema neno "kubaka " ( rape) ni tusi halafu Yule Mhindi anamwambia aliondoe eti lina maudhi? Nakubaliana na Tundu Lissu lile Bunge ni sarakasi per se! Hivi hawajui kwamba tunatazama live kwenye DStv? Kwa vile Job Ndugai anatembelea hapa JF we need explanation.

This nation has become a complain bazaar Kila mtu analalamika from mtoto standard three Hadi President?
 
Job Ndugai Naibu wa Speaker... amesema baadhi ya wabunge wa bunge lajioni wengi wanakuja wameisha lewa, wamevuta sigara mbali mbali, wanakuwa wamelamba vitu mbalimbali!!
Ukiacha wabunge, alijaribu kuangalia na wale wanaoongoza vikao vya jioni nao hawapulizi kitu fulani kabla ya kukalia kiti?
 
Hakuna spika wala naibu spdaker wala mwenyekiti.

Always mtu ukipachikwa kwenye kitengo kwa kupewa ili ufananikishe matakwa ya waliokuweka lazima utapwaya.

Ndugai amewekwa tu pale walioshika remote ni wengine kwa hiyo akipangiwa cha kufanya/kusema pale kwenye kile kiti anapokuja bungeni anakutana na mambo tofauti kwahiyo unakuta ule mtiririko wake wa kupangiwa unaharibika(paper fake unakariri ukiingia ndani paper siyo) kinachotokea ni kuchanganyikiwa.

Haiwezekani matatizo ya ndani ya bunge wewe unaenda kusemea au sijui ni kutatua kwenye vyombo vya habari na wewe ukiwa ni mmoja wa kiongozi wa hilo bunge na hayn matatizo umeyaona.

Mjinga wa mwisho huyu.
 
Hakuna spika wala naibu spdaker wala mwenyekiti.

Always mtu ukipachikwa kwenye kitengo kwa kupewa ili ufananikishe matakwa ya waliokuweka lazima utapwaya.

Ndugai amewekwa tu pale walioshika remote ni wengine kwa hiyo akipangiwa cha kufanya/kusema pale kwenye kile kiti anapokuja bungeni anakutana na mambo tofauti kwahiyo unakuta ule mtiririko wake wa kupangiwa unaharibika(paper fake unakariri ukiingia ndani paper siyo) kinachotokea ni kuchanganyikiwa.

Haiwezekani matatizo ya ndani ya bunge wewe unaenda kusemea au sijui ni kutatua kwenye vyombo vya habari na wewe ukiwa ni mmoja wa kiongozi wa hilo bunge na hayn matatizo umeyaona. Yeye ndiyo mlevi.

Mjinga wa mwisho huyu.
 
huyu mzee ugonjwa unampeleka kubaya sana nadhani celebral imeshaharibiwa vibaya sana ..
 
Ye mwenyewe hanywi,havuti wala halambi chochote? Maana siku zingine huwa simwelewi kabisa!
 
Hii habari imechelewa kunifikia. Nilikuwa natafuta soko la bange hapa nchini, ngoja walau kwa kuanzia nipeleke gunia tatu pale Dodoma
 
Kwani, kunasheria inayomzui mbunge kugida tungi na kuingia bungeni?
Halafu kidole cha kati kaoneshewaje? Ni katika hali ya mlalo au wima?
 
Kama kweli kamtaja H. Mdee Mh Mdee ashitakiwe na Mh Ndugai awe shahidi kwa kuwa kubwia unga au kuvuta bangi ni kosa la jinai. Lakini Swali: Ndugai alimuona wapi? Ndiye anayemuwashia hilo ganja?

ndugu hajamtaja mdee moja kwa moja! Amesema hivi kwa maoni yake wabunge wengi hasa kipindi cha mchana hawako sawa ila hana uhakika ni mtazamo wake binafsi.. Huenda wanakuwa wamepata kitu kama kilevi au wamevuta. Lakini hajasema mdee alivuta bangi. Alichosema ni kuwa tabia za mdee sio njema amewahi kumfanyia spika na hata mhagama.
 
Back
Top Bottom