JK ziarani Brazil kwa siku tano (Source TBC1 habari)

ritz;3704041]Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.
Ndezi mkubwa wewe!Obama kawakilishwa na Hilaly Clinton...tena ni confirmed na Greyson Msigwa-Tbc San Paulo Brazil
 
quote_icon.png
By ritz
Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.

Hillary Clinton ndiye atakayewakilisha Marekani! Nadhani wewe umesikiliza radio matete!

Mkuu.. Ritz alichanganya na mkutano wa umoja wa nchi za Marekani kaskazini na Latin America.. Ndo maana povu limemtoka na kujibu hivyo.. Ila baada ya kugundua kosa lake amenywea na hana la kusema.. Imebidi arudi tena kwenda kuuliza aandike nini kutetea hoja.. Suala la safari za JK ni tete na wenyewe linawaumiza kichwa..
 
Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.

labda kama Tbc wamedanganya sawa ila nilichosikia kwa Garrison Msigwa ni kuwa itawakilishwa na Hillary Clinton tena alimtaja kwa majina matatu. Nitaangalia CNN baadaye ntakupa taarifa.
 
Heshima Mkuu Ritz,
Labda kwenye hiyo ratiba iwe "inamficha Obama kwa sababu za kiusalama" lakini anayeonekana kwenye ratiba ni Hillary Clinton na wala sio Obama. Unaweza kututhibitia uwepo wa Obama katika shughuli hiyo?

Acha Obama, je kuna Rais mwingine kutoka Afrika? Au pengine yeye ndiye Mwenyekiti wa AU wa sasa? Ninachokiona hapa ni kwamba Rais wetu mpendwa na wapambe wake kila wakati wanatafuta kinafasi cho chote kile cha ku-justify safari za nje ili watafune hizo perdiem (mabilioni). Kwa ratiba ilivyo haponekani mantiki ya rais kuwa Brazil kwa siku sita, siku sita!! Yaani siku sita kwa kwenda kutoa welcome remarks!!!!!!!!!!!!!!!!!:shock:
 
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.

Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.

Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.

jamaa alishaenda USA without Barack obama's knowledge! just imagine RAIS WA MAREKANI ATUE BONGO AFU MWENYEJI WAKE AKIWA MAGOGONI BILA TAARIFA HII IMEKAAJE WADAU?
 
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.

Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.

Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.
Wivu wa kike utasutwa!
 
Anaenda kuleta wawekezaji wa kuku wa dawa!

Mytake: Hizi Safari Nyingine anaweza mtuma Michuzi tu apige picha Then apost kwenye blog.
 
Nasikia Mmialiko yote inapitia ikulu alafu yeye ndiye anatoa maamuzi magumu mwaliko gani aende na mwaliko gani waende wengine. Vasco noma.
 
Heshima Mkuu Ritz,
Labda kwenye hiyo ratiba iwe "inamficha Obama kwa sababu za kiusalama" lakini anayeonekana kwenye ratiba ni Hillary Clinton na wala sio Obama. Unaweza kututhibitia uwepo wa Obama katika shughuli hiyo?

ana masaburi ya kudhibitisha.? Ana bwabwaja hapa aki assume kuna usiri katika government operations kama ikulu kwa majini ya wa kwe re
 
Taarifa za leo kwenye magazeti ni kuwa JK akitoka Brazil aliko sasa ama ataunganisha safari hadi malawi au akitua bongo tu kesho yake anajoondokea kwenda malawi.Safari njema Rais Wetu.
 
atakuwa nahakikisa hakuna cange inabaki maana mwaka wa Bajeti unaelekea ukingon i, nadhani akitoka hapo chini kwa mutharika , atarudi majuu kubembea,
 
Halafu tunashangaa inakuwaje tunaganda tulipo bila kusogea mbele...hatuna wa kumlaumu. Ni sisi wenyewe na choice zetu.
 
Duuuuuh hatujawahi kupata kiongozi Tanzania kama huyo tokea dunia ianze. Kama kala mguu wa kuku vile kwa ile misemo ya kikale!!!!!
 
Naogopaga kuchangia kuhusu jk nilipigwa ban,. Ila huyu jamaa ni kero kweli kwa watz
 
taarifa za leo kwenye magazeti ni kuwa jk akitoka brazil aliko sasa ama ataunganisha safari hadi malawi au akitua bongo tu kesho yake anajoondokea kwenda malawi.safari njema rais wetu.

vipi jamani rais wangu sijaona brazil akipokelewa na mwenyeji wake?
 
Back
Top Bottom