JK ziarani Brazil kwa siku tano (Source TBC1 habari)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amavubi, Apr 16, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 22,850
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 83
  Mkuu wa nchi yuko Sao Paolo Brazil, huenda akaja na kocha mwingine maana tulipanda kwa ngazi tunashuka kwa lift viwango vya FIFA
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,730
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 63
  Maximo alikua nomaaaaa!!
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.

  Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.

  Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.
   
 4. M

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Mwenye data aniwekee hapa. Hivi Marais wa awamu zote wa nchi hii kila mmoja alifanya ziara ngapi za kikazi na binafsi nje ya nchi akiwa madarakani? Nataka kucomment
   
 5. H

  Hobic11ac Senior Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hakupokelewa na mwenyeji wake? Hata Brazil nao wamemuchoka! Eti atakutana na watu maarufu!
   
 6. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,260
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  anaenda kusainiwa Autograph na Ronaldinho.
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 6,880
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 48
  fari ya ngapi hii? kweli rais wetu mzururaji
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,754
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Hivi kwanini Rais wetu anazurura kila siku kwa kutumia kodi zetu lakini Watanzania hatuchukui hatua yoyote tunaishia kulalamika???
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,808
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi kule Brazil summer imeshaanza tayari?
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,112
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Duh... Nimeamini ule msemo wa 'kichwa-nazi'
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 2,654
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  ...anatutafutia pesa tusife njaa jamani. Huyo ni baba mhangaikaji.
   
 12. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 777
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lile dafu mkuu
   
 13. paty

  paty JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  vasco da gama hashauriki wala hajifunzi ,madudu yale yale always , inabidi siku moja tumpokee apo uwanja wa ndege na mabango ya kupinga izo safari
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 15,847
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 63
  jamani juzi mtoto wa mkulima kasema serikali imeishiwa sasa hebu nijibuni hizi za kusafiria kapata wapi? au amekopa? au ni ofa kapewa?manake kaenda na mkewe sasa najiuliza nauli ya ndege watu 2, kula, malazi pamoja na wapambe wao ni sh ngapi wametumia? halafu tunaambiwa serikali imefilisika. kweli hatuongopewi?
   
 15. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,562
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Mil 300 hizoo zinayeyuka zingetufĂ  sana kutoa elimu ya uraia.
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 15,847
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 63
  lakini hebu mnsaidie mm mnake ni mshamba wa haya mambo. ni nani anayepanga ratiba ya raisi? je kwenye diary yake huwa anaratiba ya mwaka au huwa zinaibukaga tu pasi mpango? na je yeye anaweza kuziahirisha au hawezi? na wakati zinapangwa zinakuwa na fungu la pembeni au ni fungu hili hili la bajeti ya nchi kwa kawaida?
   
 17. Black Bat

  Black Bat JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,916
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 38
  si angesainiwa na dinyo wake wa magogoni? si hana kazi yule zaidi ya kukata utepe na kufungua vyummba vya madarasa
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  Botswana raisi max anatakiwa asafiri na watu 8 WHILE waziri ni watu 4!
  Uliza utitiri wa watu anao enda nao JK
  No wonder kila safari yake huwa inatughalimu atleast 300millions
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 39,328
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 83
  Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,754
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  utaweza kufananisha uchumi wa MAREKANI na TANZANIA?
   
 21. e

  evoddy JF-Expert Member

  #21
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 18
  Anatafuta recodi ya kuwa rais wa kwanza duniani kutumia utawala wake nusu yake akiwa nje ya nchi yake,

  Maana sasa safari yake hii ya brazil ni sawa na mwaka wa NNE kanza nje ya nchi
   
 22. m

  mivumonian New Member

  #22
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Just for your information, ukiambiwa amesafiri na mke wake huo msafara unakuwa na watu wasiopungua 50 mpaka 100. Hivo unazungumzia bilioni kadhaa
   
 23. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #23
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 39,328
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 83
  Wapi nimefananisha? Mie nimemjibu huyo mwenzako anayesema Marekani wamewakiliswa na waziri huko Brazil.
   
 24. f

  fambo76 New Member

  #24
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia yule Vasco da Gama kanda Brazil na delegesheni ya watu zaidi ya 300!! Wote hawa wanalipwa posho kwa kutumia kodi za walalahoi. Kwakweli nawashangaa sana wanaoichagua CCM. Maendeleo yatapatikanaje wakati kila kukicha fedha zetu zinatafunwa!! Mwaka 2015 lazima tuwangoe hawa watu madarakani!! Chadema lazima tuungane tuwe timu moja ili kuiondoa CCM madarakani. Mnaikumbuka KANU?
   
 25. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #25
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,977
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tungefahamu kwanza kilichompeleka huko ingetusadia kupima umuhimu wa Rais kwenda mwenyewe.

  Kila nchi ina vipaumbele vyake na katika vipaumbele hivyo ndipo Rais anaweza kuamua kusisimama yeye mwenyewe kutetea hoja kwa maslahi ya nchi.

  Ni kweli safari za Jk haziwezi kuwafurahisha wote lakini tuwe wakweli Rais wetu anatakiwa kuwepo kwenye mikutano ambayo ina marais wenzake tu?
   
 26. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #26
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,640
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Jason Bourne yuko wapi hivi?
  Ndo kazi yake hii!
   
 27. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #27
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 10,737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  hata kama kwni yeye hata asipoenda kuna madhara gani?
   
 28. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #28
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,977
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Marekani ni taifa lenye uchumi wenye nguvu sio lazima kuwakilishwa na Rais.... kwa mfano mkutano unaohusu Maji na umeme si tatizo kwa marekani Rais wa Marekani anaweza kutuma mwakilishi lakini sisi Rais anaweza kwenda kwa sababu ni hitaji letu kubwa.
   
 29. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #29
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuuh JK siku hizi ndiyo Vasco Dagama?
   
 30. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #30
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,936
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza ni kuwa Safari za JK zina gharama kubwa sana huku nchi ikiwa haina dawa wala umeme wa uhakika. Ninadhani Jk atavunja rekodi ya dunia ya Rais aliyesafiri sana nje ya nchi yake.
   

Share This Page