Just for your information, ukiambiwa amesafiri na mke wake huo msafara unakuwa na watu wasiopungua 50 mpaka 100. Hivo unazungumzia bilioni kadhaajamani juzi mtoto wa mkulima kasema serikali imeishiwa sasa hebu nijibuni hizi za kusafiria kapata wapi? au amekopa? au ni ofa kapewa?manake kaenda na mkewe sasa najiuliza nauli ya ndege watu 2, kula, malazi pamoja na wapambe wao ni sh ngapi wametumia? halafu tunaambiwa serikali imefilisika. kweli hatuongopewi?
utaweza kufananisha uchumi wa MAREKANI na TANZANIA?
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.
Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.
Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.
Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.
utaweza kufananisha uchumi wa MAREKANI na TANZANIA?
mbona Rais anatakiwa kutoa taarifa kwa umma kabla ya kusafiri safari ndefu kama ya Brazil,hizi safari za huyu msafiri mbona ni za kushtukiza au ndivyo inatakiwa iwe hivyo???
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.
Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.
Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.
hana cha kufanya kufanya hapa nyumbani so mwache aende kuzurura huko brazil ....nani mwenye shida naye hapa...awepo asiwepo hakuna difference yoyote anayoileta katika nchi hii