Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi zimewakilishwa na mawaziri wa mambo ya nje au mawaziri wa uwekezaji. Mfano ni Marekani na baadhi ya nchi za Africa, Jk huoni aibu.
Hospital ya Tumbi haina x ray kwa mwaka mzima sasa, kifaa kilichoharibika kinagharimu 37m lakini yeye anatoa rambirambi 10m afu zinatafunwa na wajanja. Tanzania tunakosa priority.
Afu mtu anakuja kumtetea eti JK ni Masiha ebu tuache kuchezea jina la Mungu na kumsafisha huyu mzembe. Hakuna hata siku mmoja hapa duniani atakayefanananishwa na Yesu.
Hivi kwanini Rais wetu anazurura kila siku kwa kutumia kodi zetu lakini Watanzania hatuchukui hatua yoyote tunaishia kulalamika???
Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.
Mkuu, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya Mheshimiwa, Alhajj, Mtukufu, Dokta, Amiri Jeshi Mkuu, Raisi wetu aende huko kutembeza bakuli ili watoto wake wapate angaalu mlo mmoja kwa wiki. Kudadaaadek!jamani juzi mtoto wa mkulima kasema serikali imeishiwa sasa hebu nijibuni hizi za kusafiria kapata wapi? au amekopa? au ni ofa kapewa?manake kaenda na mkewe sasa najiuliza nauli ya ndege watu 2, kula, malazi pamoja na wapambe wao ni sh ngapi wametumia? halafu tunaambiwa serikali imefilisika. kweli hatuongopewi?
Heshima Mkuu Ritz,Acha uwongo wewe Marekani wanawakilishwa na Barack Obama.