mnabwabwaja weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ili mje muibe kura, hakuna kitu mwaka huu.
JK mwenyewe khali mbaya sana,mnaompa moyo sijui mtamuambiaje atakapoona hana kura hata moja baadhi ya vituo. wachichiem kibao wanaapa kumnyima kura halafu aende kutetea jimbo la uchaguzi!!????
chadema sasa hivi wanafanya mahesabu ndo maana vigogo kama akina mbowe,ndesa,zito n.k wanasaidia baadhi ya maeneo baada ya kuona mauzo yanshafanyika asubuhi.
mwambie mkuchika,chiligati,kilango waende kupiga tough nje ya majimbo yao uone kama hawataku............,.....wamebanwa hadi wanajuta kwa nini wapo huko mafisadini