Manyanyaso
Member
- Dec 14, 2009
- 7
- 1
Raisi JK ameingia Dodoma kwa ndege asubuhi ya leo. Kwa muda huu inasemekana yupo ktk kikao na wabunge wote wa CCM ktk ukumbi wa Pius Msekwa.
Moja ya ajenda ya kikao hicho ni kushinikiza wabunge wote wa CCM wawe kitu kimoja hapo kesho ktk kuchangia ripoti ya tume iliyochunguza sakata la Jairo. Riport ya Jairo inategemewa kujadiliwa kesho Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu.
===========
UPDATES

Kamati ya Bunge ilioundwa kuchunguza tuhuma za rushwa katika sekta ya nishati na madini inayo mkabili bwana Jairo imesha wasilishwa mezani kwa Spika. Sasa hivi bado wanaendelea na maswali na majibu.mia