JK kukutana na Wazee wa Mkoa wa Dar J'nne kuwaeleza serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa

Marksman,

Sipendi kuamini Rais Kikwete anaweza kufanya mambo ya hovyo kiasi hicho.Tafadhali tumpatie Rais wetu heshima anayostahili na ikiwezekana tumsaidie amalize awamu yake salama mambo ya kumzushia kwamba atakutana na wazee wa Dar ni siasa za maji taka.

etu HESHIMA kalale mbele weye
 
JF bana!yaani kila kinachorushwa humu hakihitaji tathmini ila ni kuanguka tu utadhani fisi ama mbwa karushiwa nyama (nao pia unusa kabla ya kula).Tuwe na subira jamani JK hawezi kuwa mjinga kihivyo.Yale yale oooh kuongea na Wazee wa Dodoma sasa imegeuka eti Dar es Salaam tena mtoa hoja anaonekana mzoefu wa kudanganya kaja na siku kabisa eti jumanne ili kutushawishi.Amebuni siku kwa kuwa anajua jtatu bunge linaahirishwa hivyo jnne hakutakuwa na activity yoyote ya public zaidi ya Rais kuhutubia wazee.

Narudia as a sensible man, huu ni uzushi wanaJF wenzangu.Ikiwa ni kweli JK anaplan hii basi lazima akubali kutoka Ikulu na kwenda kuishi uhamishoni.
 
Nipo tayari kujitoa mhanga nife na Rais kwa faida ya watanzania wengine. Huyu mtu hana faida. Kumpata ni rahisi sana niwezesheni vifaa I mean Bomu
 
Hakuna udhaifu mkubwa kwa kiongozi kama kuruhusu wapiga kelele kukuyumbisha, Kosa kubwa la JK ni kumteua PINDA ambaye hana misimamo ni weak sana yaani anaboa ningekuwa JK ningemfukuza na kumuomba astaaf hadi ubunge.
Anaboa sana PINDA.
Pinda ndio chanzo cha matatizo serikalini. Hivi hakuna wanajeshi bungeni wapewe hii nafasi!

Mkuu wateule wa rais nchi hii ni untouchable, Pinda has nothing to do with it......mfumo mbovu
Labda CCM iondoke madarakani na katiba ituletee mfumo mpya wa kuwajibika na kuwajibishana
 
JF bana!yaani kila kinachorushwa humu hakihitaji tathmini ila ni kuanguka tu utadhani fisi ama mbwa karushiwa nyama (nao pia unusa kabla ya kula).Tuwe na subira jamani JK hawezi kuwa mjinga kihivyo.Yale yale oooh kuongea na Wazee wa Dodoma sasa imegeuka eti Dar es Salaam tena mtoa hoja anaonekana mzoefu wa kudanganya kaja na siku kabisa eti jumanne ili kutushawishi.Amebuni siku kwa kuwa anajua jtatu bunge linaahirishwa hivyo jnne hakutakuwa na activity yoyote ya public zaidi ya Rais kuhutubia wazee.

Narudia as a sensible man, huu ni uzushi wanaJF wenzangu.Ikiwa ni kweli JK anaplan hii basi lazima akubali kutoka Ikulu na kwenda kuishi uhamishoni.
Kwa hiyo thread hii imejaa uongo mtakatifu [ noble lie ]?!
 
Ina maana haendi tena kwenye mazishi ya B. Mutharika kesho?

Akienda, maneno. Asipokwenda, maneno. Mtaridhika na lipi? Mnamkalia mtu rohoni hadi hamweleweki tena. Nakuombea upate uongozi wowote halafu upate na wewe joto la jiwe.
 
huu ni usengenyaji uliokithiri........:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Nikujikaanga kwa mafuta yao wenyewe! Ni kawaida yao huwa wanakuja na majibu mepesi sana kwa maswali yanayoumiza vichwa vya walala hoi.

Hivi hao wazee wa Dar au Wazee wa Dodoma au popote pale Tanzania je wao ndio wapiga kura pekee? au ndio watanzania grade one? kuna impact yoyote toka kwa hao wazee ktk kutatua matatizo ya watanzania? au yeye Rais huamini kuwa akiongea na wazee wa Dar basi wazee wote wa Tanzania wanakuwa wamemuelewa? Je wale wazeee wa Dar wakimpigia makofi basi na wa kule Nkasi, Bariadi, Kasulu etc watakuwa wamefanya hivyo?....mie huwaga simwelewi elewi hapo,
 
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya J'nne Ukumbi wa Diamond kuwashitaki Wabunge wachache wa CCM wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa Wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- Iddi Simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi JK ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!
jk ni rais mwwnye bahati sana... kapata nafasi zaidi ya kumi za redemption lakini anadharau

inakula kwake this time
 
kwa nini asiongee na waandishi wa habari? hao wazee watafikisha wapi taarifa zaidi ya kucheua pilau
na kusinzia? huu pia ni udhaifu wa kikwetree, hiv hii tz hatuna umoja wa wachawi wampotee uyu kichaa?
 
Marksman,

Sipendi kuamini Rais Kikwete anaweza kufanya mambo ya hovyo kiasi hicho.Tafadhali tumpatie Rais wetu heshima anayostahili na ikiwezekana tumsaidie amalize awamu yake salama mambo ya kumzushia kwamba atakutana na wazee wa Dar ni siasa za maji taka.

hatuwezi kumpa heshima huyu mjinga,kiwete wa fikra. Haiwezekani watu wanaiba wazi wazi we unasema ni upepo wa kisiasa! Inaonekana kila anayeiba wanashirikiana ndo maana hataki wezi wenzie waondoke kwani mapato ya nchi yatapungua! Ni afadhali uheshimu mateja wanaohudhuria methadone clinic mnh kuliko huyu jambazi wa ikulu. Mateja sasa hivi wametengeneza maua ya pale yamekuwa safi sana.
 
President wangu usiend graph yako inashuka faster acha kwenda diamond jibu hoja tu!
 
Kwa hali ya nchi inavyokwenda sasa, wawe macho wasijekutana na Alshabab siku moja hapo Diamond, patakuwa hapatoshi...haya wee......
 
Back
Top Bottom