JK kukutana na Wazee wa Mkoa wa Dar J'nne kuwaeleza serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa

Hakuna udhaifu mkubwa kwa kiongozi kama kuruhusu wapiga kelele kukuyumbisha, Kosa kubwa la JK ni kumteua PINDA ambaye hana misimamo ni weak sana yaani anaboa ningekuwa JK ningemfukuza na kumuomba astaaf hadi ubunge.
Anaboa sana PINDA.
Pinda ndio chanzo cha matatizo serikalini. Hivi hakuna wanajeshi bungeni wapewe hii nafasi!

issue yenu ya kupinga muungano mmefikia wapi??
 
Magamba ni chama cha kushangaza kweli kweli! Wanashikamana juu, ambapo huko chini mashina yanapukutika kwa kasi ya ajabu, na hakuna hata mmoja anayeshtushwa na hilo!


Nawapa hongera CDM kwa kuanza kuirarua CCM kwa kutokea chini, ambako ndiko hujigamba kuwa ina nguvu kubwa.
 
Tupe source Mkuu tuchangie hoja,Maana hili si jukwaa la udaku na umbea au kuleta maneno ya vijiwe vya kahawa!!Kama huna source peleka hoja yako FB na Tweeter ndiyo mahala pake huko!!
 
Baada ya Kikwete (kupitia Pinda) kutangaza hapo kesho kwamba hakuna waziri atakayejiuzulu kutokana na sakata linaloendelea, Mkuu huyo wa Kaya atakutana na Wazee wa Mkoa wa Dar es Sakaam siku ya J'nne Ukumbi wa Diamond kuwashitaki Wabunge wachache wa CCM wasaliti walioshirikiana na wale wa upinzani kutaka kuiyumbisha serikali yake.
Mada kuu itakuwa ni kwamba serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa.

Mwenyekiti wa Wazee ambaye anabeba tuhuma lukuki za ufisadi na ambaye hakuna chombo cha dola kinachodiriki kumgusa -- Iddi Simba ndiye atakayempokea rasmi rasmi JK ukumbini pale.

Nataka kutapika!!!!!

Mwenyezi MUNGU aepushe isiwe kweli! Kama ni kweli itakuwa zaidi ya maigizo sasa hii!
 
issue yenu ya kupinga muungano mmefikia wapi??
Mkuu Daudi, alikuja mkapa ametumwa na wakuu tanganyika na amewaomba waheshimiwa hapa walinde muungano kwa makubaliano kuwa watapata benefit zaidi toka tanganyika. naona SUK inaanza kutekeleza makubaliano hayo.
Pia kuna waheshimiwa wamewekeza sana huko kwenu wana wasiwasi na mali zao ndo mgogoro mwengine upo hapo.
 
Inabidi vijana wa Dar watafakari na kuchukua hatua kama wa Tandahimba. Wazee wa Dar wanalea wizi serikalini?
 
Hakuna udhaifu mkubwa kwa kiongozi kama kuruhusu wapiga kelele kukuyumbisha, Kosa kubwa la JK ni kumteua PINDA ambaye hana misimamo ni weak sana yaani anaboa ningekuwa JK ningemfukuza na kumuomba astaaf hadi ubunge.
Anaboa sana PINDA.
Pinda ndio chanzo cha matatizo serikalini. Hivi hakuna wanajeshi bungeni wapewe hii nafasi!


Kikwete na watu kama wewe ndio mzizi wa matatizo ya nchi hii. sorry for any offence
 
JK,

Regardless ya nani yuko sawa na nani hayuko sawa, ningekuona kiongozi unayefaa na mwanamme wa shoka kama ungeenda Dodoma kuwaface wanaotaka kuwajibisha mawaziri wako, uwaambie kwamba serikali yako "haiendeshwi kwa shinikizo".

Hizi habari za kwenda kwa "wazee wa Dar" ambao ni cheerleaders wako wa kila siku zinazidi kuthibitisha maneno ya wale wanaosema huwezi kufanya maamuzi magumu.
 
Ikiwa atafanya hivyo hatofika 2015 ataitisha uchaguz nandio mwisho wa habar zake. Iq
 
Huyu mkulu we2 inawezekana aliwahi kuugua d.eg.e.g.e.ge wakati wa utoto wake, maana kwa kiongozi kama yy kuogopa mawaziri alowachagua yy mwenyewe inatia aibu. kwani nani alimpa ile Phd? kwa kipi alichofanya huyu ******? aondoke zake...
 
Kwani arusha hakuna wazee? kama ni kweli jk anawatukana wakazi wa dar. chukueni hatua.
 
Nani kasema Pinda hawezi kazi? Kimsingi ni Rais mwenyewe anamuangusha maana kwa Katiba yetu PM hana mamlaka mpaka apewe na Rais. Mhe. Pinda ni mchapa kazi mzuri na kamwe sio fisadi lakini anashindwa kuchukuwa maamuzi kwa sababu JK haeleweki anaweza kumgeuka saa yoyote ndiyo maana wakati ule alisema anamsubiri ampe Go ahead kwa issue ya Jairo. Katika nchi yetu Rais ndiye kila kitu ndio maana mazuri yote atapata credit hivyo na mabaya pia yamuangukie yeye. Kama nifahamuvyo mimi ni kuwa Mhe. Pinda hakuwa chaguo la JK bali ni la Chama hivyo huwa hampi ushirikiano wenyewe ni mashahidi. nionavyo mimi, JK yuko tayari kumtosa Pinda kuliko kumruhusu Mkulo kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom