Kuna tetesi zimeenea kuwa leo hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh JK atahutubia taifa kupitia mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa chama chake cha CCM. Atafanya hivyo kujibu mapigo ya Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe; Hivyo basi hii itakuwa suprise kwa Watanzania wote, nataarifa zilizopatikana hadi sasa ule mkutano wake na Wazee wa DSM umehairishwa hadi mwisho wa mwezi huu