JK kuhutubia Taifa leo kupitia uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru EAST

Atahutubia Taifa kupitia ufunguzi wa Kampeni?
Kwani anakwenda kwenye huo ufunguzi kama Rais wa nchi ama kama Mwenyekiti wa CCM?
Haya siyo matumizi mabaya ya Taasisi ya Urais Jamani?

Ukiamini Thread hii na wewe ukaanza kuchangia kwa kumlaumu Rais lazima utiliwe mashaka juu ya uelewa wako humu JF. huoni kama huyu jamaa aliyeiandika alilala baa?
 
Ukiugua chochote utakachoambiwa kuwa ni dawa hapana shaka utakunywa tu hata kama huo ni uchafu
Napita tuuuuu
Thehe thehe thehe thehe. Umeona. Au ukiona jiwe limevalishwa Mask na kupewa jina la Dorika Siha haba utashangilia na kusema Baba Josephine, Baba Josephine, Baba Josephine. Manake sasa hivi limebaki kuwa kama jiwe, likiambiwa geuka huku linageuka.
 
JF inaanza kupoteza mwelekeo na Members wengi humu sasa hivi wanapoteza uwezo wa kufikiri vizuri, ningependekeza Mods na Invisible mrudishe utaratibu wa kureview thread kabla hamjairuhusu kukaa hapa. hizi ni thread za kizembe na kitoto kabisa.
 
JF inaanza kupoteza mwelekeo na Members wengi humu sasa hivi wanapoteza uwezo wa kufikiri vizuri, ningependekeza Mods na Invisible mrudishe utaratibu wa kureview thread kabla hamjairuhusu kukaa hapa. hizi ni thread za kizembe na kitoto kabisa.
Sasa unabisha Rais kuhutubia Mkutano wa Chama chake kumbuka JK ni mwenyekiti wa CCM hivyo unaruhusiwa pia kushiriki kampeni za chama chake kama wafanyavyo kina mbowe. Unge kuwa na akili sawa ungepinga Rais kuwahutubia Wazee wa CCM Dar
 
Atakayehutubia si rais, ni mwenyekiti wa CCM. Hatutasikiliza maneno yake kama rais wa nchi bali kama mwanaCCM akiwa kwenye kampeni.
 
Mode, naomba ondoa hii kitu hapa!. JK hajawahi kuhudhuria kampeni zozote za uchaguzi mdogo!. Leo JK anazungumza na wa Wazee wa Darisalama na itatangazwa live na TBC-1
 
chadema msipoangalia nchi haitatawalika haiwezekani muda wote rais anachanyikiwa kisa chadema....saizi anaongoza nchi kwa kuvizia chadema watasemaje naye asemeje..hii si haki mwacheni aongoze kwa utulivu.!!!
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa leo hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh JK atahutubia taifa kupitia mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa chama chake cha CCM. Atafanya hivyo kujibu mapigo ya Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe; Hivyo basi hii itakuwa suprise kwa Watanzania wote, nataarifa zilizopatikana hadi sasa ule mkutano wake na Wazee wa DSM umehairishwa hadi mwisho wa mwezi huu

Hotuba ya kitaifa na hotuba ya mambo ya kisiasa mbona ni vitu viwili tofauti jabisa? Maana kama taifa ambalo lina watu wasioikubali ccm na siyo wafuasi wake atawahutubia je watu kama hawa kupitia kampeni za chama chake?
 
duuuuuuuuh.. huyu jamaa nani huwa anamshauri lakini? mbona anafanya vitu visivyoelewekw kabisa! kweli tz tuna rais kiboko.

Njiwa wa jamii moja huruka pamoja sitegemei kilaza akateuwa washauri wake ambao ni kichwa kama lipumba, so itakuwa alichagua vilaza kama yeye ili wamatch
 
Back
Top Bottom