JK kuhutubia Taifa leo kupitia uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru EAST

Sasa unabisha Rais kuhutubia Mkutano wa Chama chake kumbuka JK ni mwenyekiti wa CCM hivyo unaruhusiwa pia kushiriki kampeni za chama chake kama wafanyavyo kina mbowe. Unge kuwa na akili sawa ungepinga Rais kuwahutubia Wazee wa CCM Dar

[h=6]TICHA:kati ya hela na akili unachagua nn?
DENTI:nachagua hela
TICHA:ningekua mimi ningechagua akili
DENTI: sipingani na wewe mwalimu kwani mtu
huchagua ambacho hana.[/h]
 
mweeeeeee!bora asiongee maana atafumua mengine tu kwani ule ugonjwa wa kudondoka majukwani kashapona?
 
Kuna tetesi zimeenea kuwa leo hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh JK atahutubia taifa kupitia mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa chama chake cha CCM. Atafanya hivyo kujibu mapigo ya Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe; Hivyo basi hii itakuwa suprise kwa Watanzania wote, nataarifa zilizopatikana hadi sasa ule mkutano wake na Wazee wa DSM umehairishwa hadi mwisho wa mwezi huu

Sasa umeamini kuwa umetunga uwongo. fungua blog
 
Back
Top Bottom