Bhbm
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 714
- 208
Wakuu nimefurahishwa sana na kufarijika sana kusikia kuwa mh. Rais atahudhiria mazishi ya mh. Regia kesho ifakara. Pamoja na udhaifu wake kiuongozi but JK anaupendo sana na si mtu wa kujikweza kama wengine.
Poleni sana kwa msiba huu mzito wana jf wenzangu, chadema, bunge, na taifa kwa ujumla. Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Source: Taarifa ya habari itv saa mbili usiku.
Poleni sana kwa msiba huu mzito wana jf wenzangu, chadema, bunge, na taifa kwa ujumla. Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Source: Taarifa ya habari itv saa mbili usiku.