JK kuhudhuria mzishi ya Regia ifakara.

hivi wakiristo si ndio wanasema waislam hawakusoma?nakumbuka siku moja padri alijigamba kwenye bbc kuhusu kei ya dibagula kwamba waislam hawajishuhulishi na kusoma sasa nchi inaendeshwa na wasomi?nchi maskini, omba omba au mnakataa cheo chenu cha usomi?JK MNAMLAUMU TU. AKICHUKUA MAAMUZI MAGUMU YA KUIKWAMUA NCHI YETU UMASKINI MTAPIGA KELELE, MFANO MISAMAHA YA KODI ULISIKIA KANISA LILOVYOKUJA JUU?

Unajua jini maiti wa JK anafanya kazi sana nilitaka nishangae
 
Huyu jamaa anapata wapi muda wa kuhudhuria kila msiba? Hivi kwenda kuhani nyumbani kwa baba Regia hakutoshi? Kweli kumpa nchi mswahili tulichemka sana!
 
Mbowe ni Mwenyekiti wa chadema, mimi simtambui , Jk ni mwenyekiti wa CCM mimi mwenyekiti wangu, JK ni rais wa Tanzania, mimi, wewe, dk slaa, mbowe ni Mkuu wetu. Hongera JK kuwaonysesha Chadema kwamba siasa sio Chuki

Kama sio chuki kwanini Dr Mwakyembe mmemlisha sumu?na kama una kumbu kumbu wewe MS aliwahi kuripoti polisi mara kadhaa jinsi ambavyo alikuwa anafuatiliwa auwawe,hizo sio siasa za chuki zinazofanywa na CCM-Magamba?
Na kwanini mnawapiga mabomu,risasi,maji ya kuwasha CDM wanapofanya maandamano ya amani hasa yanayolenga kuwaarifu watanzania uozo wa serikali inayoongozwa na CCM?
CCM ndio vinara wa siasa za chuki na ufisadi
 
pm umekimbia. umekuja uwani. dk slaa kesho ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mbowe ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii, JK na ccm juu juuujuuu zaaidi kesho

teh teeh MS, Namuogopa mumeo, ndio maana nimeamua kuja peupe. Nilikuwa busy na kaz nitakupm kesho tuendelee na mjadala
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom