JK kuhudhuria mzishi ya Regia ifakara.

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
715
208
Wakuu nimefurahishwa sana na kufarijika sana kusikia kuwa mh. Rais atahudhiria mazishi ya mh. Regia kesho ifakara. Pamoja na udhaifu wake kiuongozi but JK anaupendo sana na si mtu wa kujikweza kama wengine.

Poleni sana kwa msiba huu mzito wana jf wenzangu, chadema, bunge, na taifa kwa ujumla. Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.

Source: Taarifa ya habari itv saa mbili usiku.
 
hakuna mwanadamu mwenye mabaya tu! Labda Malaria Sugu wa JF! bravo JK kwa hili msiba ukiisha kibano kinaendelea mpaka kieleweke!
 
Msiba wa Regia nina mashaka sasa unataka kuchukuliwa kisiasa zaidi.
Walosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!

Lakini katika hili la kuhudhuria misiba nadhani jk amekuwa consistent kwa kiasi cha kupigiwa mfano. Tumpongeze tu katika hili kwa sababu anastahili.
 
hongera jk, Chadema bado wachanga lkisaisa

Wachanga kisiasa wakati ndio wanaoendesha nchi, kila jambo wanalodai jk anatekeleza. walifanya maandamano juu ya hali mbaya ya uchumi jk akapunguza bei ya sukari. sasa mkubwa nani hapo
 
Kumbe jk kalainika. anafanya mchezo na gwandaz. Yeye ahudhurie tu ila ajue siku akihutubia bunge, wazee wa gwandaz watampa kisogo tu.
 
Walosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!

Lakini katika hili la kuhudhuria misiba nadhani jk amekuwa na consistent kwa kiasi cha kupigiwa mfano. Tumpongeze tu katika hili kwa sababu anastahili.

Hakika kabisa! Kwenye hili JK rekodi yake ni nzuri. Kwa hilo mimi siwezi kabisa kumbania hongera zangu.
 
Yaani jk anatafuta upenyo kwa udi na uvumba akutane na dr. amwombe aunge mkono ule mswada wa katiba ili kupunguza jazba za wananchi ambao wana hasira kutokana na matatizo yanayolikumba taifa kwa sasa
 
Walosema siasa ni mchezo mchafu hawakukosea!

Lakini katika hili la kuhudhuria misiba nadhani jk amekuwa na consistent kwa kiasi cha kupigiwa mfano. Tumpongeze tu katika hili kwa sababu anastahili.
Hizo nguvu anazotumia kuhudhuria misiba, angezitumia pia kwenye kukuza uchumi, tungekuwa mbali, na magamba yangeshavuliwa na kuwekwa ndani
 
Mzee wa kulala na maiti makaburini,I was sure he won't afford to miss such opportunity! Bravo mzee unayelindwa na Majini na mapete ya rangirangi,however ndugu JK mlaumu late Yahaya Hussein 'the Psycic' kutowa siri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom