goodlucksanga
Senior Member
- Nov 8, 2011
- 144
- 28
asante kaka unaonekana unamawazo finyu kweli
kikwete anahatarisha vipi usalama wa Taifa wakati yeye ndiyo namba moja katika kulinda usalama wa nchi?
Nchi ninayoizungumzia ni Tanzania na usalama na maslahi anayopigania Jk ni ya Tanzania na watajwa wa hapo juu ni watanzania ambao ninadhani akiwapeleka Nje ya nchi basi nchi itakuwa shwari. au wewe unadhani nani na chanzo cha kuyumba kwa Taifa letu?Inawezekana kuna nchi mbili zinazungumziwa hapa!Analinda usalama wa nchi kwa kuiteketeza kwa ufisadi?
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.
Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.
baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo
haya mawazo mlikuwa mna-share kabla au baada ya adhana?
Haya mazungumzo nimeyasikia kwenye muhadhara Fulani huku Bagamoyo kumbe wale wazee wako serious na huu upupu sasa uko JF
rais anayo mamlaka ya kumwondoa mtu ndani ya nchi kwasababu za usalama wa nchi. kama ikionekana mtu huyo anahatarisha usalama wa taifa
Anayo mamlaka kama ulivyosema, lakini kwakuwa amechukiwa na wengi, awaondoe watanzania wote abaki yeye na mke wake!
Tatizo si kikwete tatizo ni wanaomyumbisha kikwete, sasa ni wakati wa kuwafutia uraia na kuwalazimisha kuondoka nchi, wakigoma basi watayaona maamuzi magumu wakiwa gerezani
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.
Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.
baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo
hapana usinihusishe na dini ya islamic kwani mimi si mmoja wao bali weka hoja ubaoni kwanini rafiki zako akina slaa , mboe na pengo ,zitto na shivji wanayumbisha nchi na wasifutiwe uraia na kukimbizwa nchi?
sasa tunafukuza hao wanaotaka kuamsha fikra za watanganyika waende huko misri na tunisia wasilete fujo kwetunakubaliana nawe kuhusu kutofautiana na mkuu mwingine juu ya kuchukulia mtazamo wake kidini,ila napingana nawe juu ya wayumbisha nchi,kwanza sidhani kama nchi nchi imeyumba,pili kama kweli nchi imeyumba basi ni kutokana na watanganyika kuamka kifikra!
awafutie uraia kivipi?kwani babake ni mmiliki wa hii nchi?