JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
tunafahamu fika kwamba jk hakushinda kihalali na ndio maana watu hao aliowataja wanampa ugonjwa wa moyo kwa misimamo yao,ila kumbuka kwamba kuwafukuza hao sio ndio utakuwa umemaliza tatizo bali utaliongeza mara mia mbili kwani wapo wanaowaunga mkono kwa asilimia miamoja bwana godwine

hakushinda kihalali au alishinda lakini si kwa kiwango kilichotangazwa? kuna wizi unaweza kufanyika ili kuongeza kura za rais aliye madarakani kwenye chaguzi na kuna wizi ambao unafanyika kwasababu ya kumuokoa rais aliye madarakani pindi anaposhindwa na mpinzani wake na kupelekea kutaka kupoteza kiti cha urais ....wewe unadhani mazingira ya 2010 yalikuwa vipi?
 
Kwa jinsi sasa hivi dunia ilivyo kama Kijiji ni vigumu sana akatawala kwa kuwepeleka Slaa, Mbowe na Shivji uhamishoni! Mfano mzuri ni yeye mwenyewe akiwa safarini Ugaibuni huwa anaongoza Nchi kwa kutumia simu!

Na alipopigigiwa simu avunje mkataba wa Richmond akakataa na kumsikiliza Luhanjo na Jairo. Source: Lowassa
 
Hivi katika great thinkers kuna mtu aliwahi kumchagua JK? Basi kuwemo katika familia hii. Huku kwetu Padri alimzidi kwa kura 15000 pamoja na uchakachuaji. Sisi huku hakushinda na hivyo ni kama hatuna kiongozi.

Anayehatarisha usalama wa nchi ni huyo aliyetangazwa kushinda. Yeye na shoga zake. Kule jeshini aliwahi kukosa kura zote, aliposhinda kwa mshangao walimbatiza jina la Kanumba?!
 
Kwa niliyoyaona Mbeya kama JK akithubutu kuwafuta uraia hao watu ujue nchi inadumbukia kwenye machafuko
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

ajaribu aone kama hajaingizwa vijiti matakoni kama Ghadafi
 
Dr slaa amekatazwa kusogeleana na rais na wanausalama kwani yeye ni chanzo cha presha za rais, na wameshauri asiwe anaenda maeneo rais anayotembelea
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

Akili yako ndo imefika kikomo!? ww uko perfect kiasi gani mpka usikosolewe? nadhani nawe uko kwenye kundi la vijisenti ivyo una mashaka bomu litalipuka anytym!
 
Akili yako ndo imefika kikomo!? ww uko perfect kiasi gani mpka usikosolewe? nadhani nawe uko kwenye kundi la vijisenti ivyo una mashaka bomu litalipuka anytym!
​jamaa amekuja na hoja yake na nadhani anamisingi yake hivyo ni vema ukaonyesha mapambano ya hoja na si matusi
 
kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

Baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

ili muibe vizuri? Pumbavu, hujui democrasia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom