JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

Status
Not open for further replies.
Tatizo si kikwete tatizo ni wanaomyumbisha kikwete, sasa ni wakati wa kuwafutia uraia na kuwalazimisha kuondoka nchi, wakigoma basi watayaona maamuzi magumu wakiwa gerezani
 
Inawezekana kuna nchi mbili zinazungumziwa hapa!Analinda usalama wa nchi kwa kuiteketeza kwa ufisadi?
Nchi ninayoizungumzia ni Tanzania na usalama na maslahi anayopigania Jk ni ya Tanzania na watajwa wa hapo juu ni watanzania ambao ninadhani akiwapeleka Nje ya nchi basi nchi itakuwa shwari. au wewe unadhani nani na chanzo cha kuyumba kwa Taifa letu?
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

haya mawazo mlikuwa mna-share kabla au baada ya adhana?
 
haya mawazo mlikuwa mna-share kabla au baada ya adhana?

hapana usinihusishe na dini ya islamic kwani mimi si mmoja wao bali weka hoja ubaoni kwanini rafiki zako akina slaa , mboe na pengo ,zitto na shivji wanayumbisha nchi na wasifutiwe uraia na kukimbizwa nchi?
 
Haya mazungumzo nimeyasikia kwenye muhadhara Fulani huku Bagamoyo kumbe wale wazee wako serious na huu upupu sasa uko JF

Nimekuwa nikikwepa kujadili kwa kuhusisha dini hata baada ya kuona post ya Malaria Sugu hapa lakini ukweli ni kwamba miahadhara na mahubiri ya wenzetu hawa ni kichefuchefu. Na kwakuwa Nape alitangaza kwamba ametuma vijana wake kwenye mitandao ya kijamii ikiwamo JF ndio maana unakutana na upupu humu! Na tutaendelea kukutana nao sana maana wakati tunajadiliana njia bora ya kusukuma maendeleo ya nchi yetu, wengine wametumwa na kulipwa ili kupingana au kuharibu mjadala ili tu kutetea "chama" na "serikali" vinavyoelekea kuzimu!
 
Tanesco wanamatatizo makubwa sana yaani wanakata Umeme na kuwasha sijui wanatumwa na akina dr slaa ili kumyumbisha kikwete ndio maana hawa watu lazima tuwakimbize nchini kwetu na kuwafutia uraia.

Wakuu bado nipo kwenye mjadala lakini muda si mrefu nitatoweka kwani hakuna umeme yaani akina slaa wanahujumu mpaka umeme wetu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
rais anayo mamlaka ya kumwondoa mtu ndani ya nchi kwasababu za usalama wa nchi. kama ikionekana mtu huyo anahatarisha usalama wa taifa

Iwapo tu si raia wa nchi husika na si vinginevyo,kwa hiyo hao watu tajwa sio raia wa Tanganyika au?na ni usalama gani wanaotishia?au uongozi uliopo madarakani kukosolewa ili ujisahihishe basi inatishia usalama wa taifa!hizi sio zama za kiza mkuu...AMKA
 
Tatizo si kikwete tatizo ni wanaomyumbisha kikwete, sasa ni wakati wa kuwafutia uraia na kuwalazimisha kuondoka nchi, wakigoma basi watayaona maamuzi magumu wakiwa gerezani

Hata njiwa hana akili hizo,utawafutia uraia kwani waliomba uraia hao hao au ni raia wa kwa asili?hata mbayuwayu hana akili kama zako,kama hauna la msingi kuchangia kwy mada bora usome na kupita tu ili kuficha uwezo wa uelewa wako!
 
Kutokana na rais kuwa katika mashinikizo makubwa toka kwa watu na taasisi zinazoongozwa na watu ao ni vema ukafuta uraia wa waliotaja hapo juu ili nchi itulie na shughuli za maendeleo ya taifa zifanyike la sivyo mh rais utawala wako utadondoka kabla ya muda wake.

Wafalme wa ugiriki waliwai kuwaua wanafalsafa waliokuwa wanayumbisha tawala zao lakini mimi sikushauri uwaue bali wafukuze nchini kama nyerere alivyomfukuza kambona au karume alivyomfukuza ibrahimu babu.

baada ya kufanya hivyo nchi itakuwa imetulia na hutakuwa na magonjwa ya moyo

kwanza pongezi kwa mama mzazi kwa kukutoa kabla ya wakati naamini angeendelea kukkuweka tumboni
walahi angezaa nyau shukran tena kwa mama mzazi kwa kusoma nyakati nakuamini premature wanaweza kuishi bora atue mzigo
 
mkuu mara ya mwishokwenda kunya ama chookikubwa ni lini
samahani kuuliza hivi nimeonakuna watu wana matatizo ya kutokwenda choo sasa ile harufu ya mavi inahamia kwenye ubongo unakuta mtu anateseka sana bila kaujua tatizo ni wapi ikiwepo hata kuwaua wazazi wake ili wapate utajiri embu jiulize hili maswali kama haya yanatokana namatatizo ya kutokwenda choo kikubwa..muda muafaka..kama kule sehemu kumeziba kuna utumbo mkuu wanarekebisha safi unatulia wajuze bana muhimbili
DK NANINOOO DILI HILO JAMANI
 
Kaka mimi 100/100 nakuunga tena kwenye salamu za mwaka mpya atangaze hilo, hope ndio itakuwa mwisho wa mateso haya tuliyokuwa nayo!!!!!
Kwani " for every action there is equal and opposite reaction": I mean F= -F,Wale wenzagu mtakuwa mnaijua hii first law of motion"(mabadiliko/movement)
 
hapana usinihusishe na dini ya islamic kwani mimi si mmoja wao bali weka hoja ubaoni kwanini rafiki zako akina slaa , mboe na pengo ,zitto na shivji wanayumbisha nchi na wasifutiwe uraia na kukimbizwa nchi?

Nakubaliana nawe kuhusu kutofautiana na mkuu mwingine juu ya kuchukulia mtazamo wake kidini,ila napingana nawe juu ya wayumbisha nchi,kwanza sidhani kama nchi nchi imeyumba,pili kama kweli nchi imeyumba basi ni kutokana na waTanganyika kuamka kifikra!
 
nakubaliana nawe kuhusu kutofautiana na mkuu mwingine juu ya kuchukulia mtazamo wake kidini,ila napingana nawe juu ya wayumbisha nchi,kwanza sidhani kama nchi nchi imeyumba,pili kama kweli nchi imeyumba basi ni kutokana na watanganyika kuamka kifikra!
sasa tunafukuza hao wanaotaka kuamsha fikra za watanganyika waende huko misri na tunisia wasilete fujo kwetu
 
Mimi naona vitu vinatakiwa vipigwe marufuku humu JF kuwepo na program hukutwa na kilevi hasa hivi vinywaji:-Valeur ni mbaya sana huyu Godwin punguza au acha!!tatizo unachanganya na msuba nimbaya maana kama ungekuwa na akili timamu huwezi kuandika upupu kama huu!!ili ya wezekani hipo siku moja niilimsikia JK wakati akimshambulia Mh Tundu lisu eti, "Angekuwa dikiteita watu wanaosema yeye dikiteta siku moja mungesilika amepotea huyo anayetangaza serikali yangu ni yakidikiteta!kwani hata vyombo vya habari magazeti,TV zingekuwa nivya serikali pekee maana sisi madikiteta pasingetokea mtu wakutuhoji!!"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom