JK azindua kitabu cha wasifu wake!!!!

Nyang'oro nadhani alikosa aandike kitabu gani naye aongeze idadi ya machapisho akaona ni vyepesi kuandika mambo ya kuwadi wake jakaya.
wanaopenda wasome tu upuuzi huu. Mie hata hotuba za Kikwete mwizi wa kura sisikilizi nitasomaje upupu huu?
Wale wanaodhani wana muda wa kupoteza someni. Nina vitabu vingi vimefoleni mbele yangu kusomwa na ni bora sana kuliko hichi cha mwizi mchakachuaji.
GeniusBrain soma wewe ili uwe Dull brain.
 
Hivi hicho kitabu kinahusu sehemu gani ya maisha yake?

Hili nalo neno mzee wetu MMM. Mhh jamani mimi mpaka nimekosa cha kucomment kwa kweli. Dah hawa maprofesa wetu nao wanatumaliza nguvu kweli kweli. Prof. Nyang'olo hivi utakuwa ulipata muda wa kutosha kujiuliza kwa kina kabla ya kuingia kwenye project ya kujidhalilisha kiasi hiki?
 
si mumpotezee tu JK na mradi wake,kwa nini mje kutoa sababu humu za kutokinunua?:embarrassed:
 
sometimes watu nasi tuwe reasonable......sidhani kama chuki na dharau zitatusaida kwa sasa!

Hutaki nimchukie JK? Nimpendi kwa lipi? Bivbi yangu kijijini anaenda kuchota maji kilomita nne kutoka nyumbani, wadogo zangu wanafukuzwa ada kwenye shule za serikali, wanawake wanajifungua ktk mazingira ya aibu, hospitali zetu zina panado tu na zenyewe kuzipata hadi uhonge. Umeme wa mgao, dar foleni, V8 zinakataliwa wakati zimenunuliwa tayari, kampeni za mabilioni, Wezi anashirikiana nao na wengine anawasafisha jukwaani, mkewe na watoto wake wanaishi maisha ya kutukuka halafu leo unanilazimisha nisiwe na chuki nae, nonesense!
Km mtu hapendeki hapendeki tu. Hiyo 25,000 si bora nikanunue CD ya 20 percent niburudishe akili kuliko kwenda kununua uharo wa profesa aliyeikimbia bongo!
 
Back
Top Bottom