JK azindua kitabu cha wasifu wake!!!!

NA ANAPOUZA,HIZO HELA KUNA SEHEMU ANACHANGIA AS FUND RAISING AU ANAONGEZEA ACCCOUNT YAKE BINAFSI?
na anaandka kitabu kwa kipi alichofanya?hata 2nd term hajamaliza,au kutakuwa na 2nd edition baada ya term yake ya pili kwisha?HUU NI USANII NA BIASHARA
 
Nilisha acha kusoma hadithi. Mimi huwa nasoma makala za uchambuzi na uchambuzi uwe ni both side of the coins yaani +ve na -ve. Udhaifu aliouonyesha mwandishi kwa kutokuwa balanced nimepoteza appetite
 
Ana vingi vya kuandikwa juu ya wasifu wa maisha yake.

Kwa ufupi, he is a born leader, kuanzia shule mpaka kuwa Rais wa watu kama wewe, he must be something.

Nakifata nikakinunuwe kabla nakala za mwanzo hazijaisha.
Kalagabaho.

huyo juu, baba yake sio mtanzania... Rud kwenu Burundi!
 
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .



Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...


Source:MICHUZI


Naweza kukisoma hicho kitabu ili nione jinsi watu wanavyoweza kuwa na elimu kubwa bado wakashindwa kuzilinda na kusimamia taaluma zao... labda ningependa kujua aliyefadhili uandishi huo alikuwa nani, pia kuwatoza pesa wananchi ambao wanakabiliwa na majukumu mengi wakati hizo pesa za kuandikia hicho kitabu ni zao naona ni aina nyingine ya ufisadi.. kingegawiwa bure tu watakaojisikia kusoma wapate nakala!!
 
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .



Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...


Source:MICHUZI



Hivi Nyang'oro ni Mtanzania? Ni swali tu nauliza kujua kama ni mzalendo wa nchi hii.
 
Is better if you have time to read "hadithi za abunuwasi" utafurahia sana kuliko kitabu hicho kilichojaa sifa wakati udhaifu uko dhahiri. Kwanini tusiwe kama mfalme Daudi aliyeandika udhaifu wake baada ya kuzini na Batsheba. Is better i concentrate to the Bible rather than wasting my time. Nawakilisha.
 
Jitahidi msome hicho kitabu maana humo inawezekana akawa ameelezea kwa nini alitumia hela yetu ya kigeni kwaajili ya kwenda kubembea Jamaica badala ya kuwaomba watanzania wamtengenezee mabembea pale Magogoni, kama anapenda sana kubembea. Hiyo kazi angalao ingewapa pesa kidogo wabongo waliochoka kwa kukosa ajira.
 
Hicho kitabu nadhani hakina hadhi ya kukaa katika duka la Chuo Kikuu maana aliyepitia kwaajili ya kutoa maoni yake, alisema bila kutafuna maneno, amesema, 'kitabu hicho si chochote na wala si lolote, maana inaonekana hakikuandikwa kwa nia ya kuandika wasifu wa JK bali kiliandikwa kwa nia ya kumpamba, na hivyo kupoteza maana nzima'. Hiyo ndiyo shida kubwa ya wasomi wetu, kujipendekeza kwa watawala.

Ndiyo maana nchi yetu hii haiwezi kuendelea kwa vile wasomi wengi badala ya kutoa changamoto kwa watawala kama inavyofanyika katika nchi nyingine, wa kwetu, walio wengi ni kujikomba.
 
you can not judge the book by its cover, buy it and read it and then comment about better that way.
 
Kuna Prof amekosoa sana kuwa mapungufu hayajaongelewaaa...kabisaa!!!!wameongea positive side tuuu....huyo mhariri ametoa changamoto

Kweli wanadamu kila mmoja ana maono ya namna tofauti!!!!!! JK anatafuta sana legacy na historia baada ya utawala wake lakini kwa kitabu hiki amenoa!!!!!!!! Katika kitabu hiki watanzania wangapi watakisoma na kumpa wasifu anaohitaji??????? Hapa anatafuta kufanana na Mwl-lakini Mwl alikuwa msomi na mwanafalsafa, tena mzalendo wa kuigwa-JK ni fisadi, tena wa kutisha, na mwizi wa uchaguzi ambao watanzania walifanya kwa moyo wa upendo kwa taifa lao, lakini yeye akalazimisha kwa kupora matokeo hewa!!!!!
Mimi nina ushauri kwake kwa wasifui anaotafuta kwa watanzania:-
Awa-suprise watanzania kwa ku-take lead katika uandaaji wa katiba mpya!!!! After all atapoteza nini?????????? Kwa hili atasifiwa na kukumbukwa na histotia ya nchi hii!!!!!!! Awa-suprise tena kwa kuvunja tume ya kiravu na makame na kuanzisha tume huru ya uchaguzi!!!!!!!! Aache kuwasikiliza RA, EL, na AC-aamue kuachana na anything to do with ufisadi kabisa!!!!!!!!!!
Kwa kitabu hiki asitegemee cho chote maana hata wasomi wameponda kabisa yale yaliyoandikwa-yameegemea upande mmoja;hana cha kupata, lakini kwa katiba na tume ataingia katika encyclopaedia ya Tanzania na Afrika!!!!!!!!!!!
 
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .



Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...


Source:MICHUZI

hata wangeniletea bure hadi nyumba,ningewaambia sikitaki.
 
Ushauri wa bure tusomeni kwanza kitabu then tuje tuanalyze hapa. Kama unauwezo order copy, soma then bring it on. Hatuwezi kutofautiana na muandishi wakati hatujasoma kitabu.

Sarah Palin pia anakitabu, so kuandikwa kwa kitabu is nothing less nothing more. JK labda anazungumzia alichofanya akiwa kada wa chama. I doubt kama anacho cha kuzungumzia wakati wa uongozi wake.

Liberals wapo against Bush lakini wamenunua Decision Point, ili waone upande mwingine wa sarafu. Tuache kufunga mentality zetu kwenye upande tunaokubaliana nao tuu. Tujifunze kuwasikiliza wale tusiokubaliana nao, hapo tutasema kweli tunakomaa kisiasa.
 
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .



Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...


Source:MICHUZI

Ukisoma kitabu kinachozinduliwa na Mwizi jiangalie sana maana unaweza kuwa Mwizi na wewe.
 
trust me kama haijaishia kufungia maandazi na mihogo, and no one atanunua, few months
kimesahaulika, hivi ni kuandika tuuuuuuuuuu vitabu???, this is laughable
 
Julius E. Nyang'oro


julius_nyangoro_2.jpg
Title:

Professor and Chair, African and Afro-American Studies; Adjunct Professor, Political Science
Education:

B.A., Political Science, University of Dar es Salaam, Tanzania; M.A., Ph.D., Political Science, Miami University; J.D., Duke University
Teaching Interests:

At a general level, I teach courses that deal with the Comparative Political Economy of Development; Africa in the Global System, and the role of Law in National Development. In terms of sub-regional interest in Africa, I teach courses on Eastern and Southern Africa. Current Research:

In the past two decades my primary research interest has been on Africa's comparative political economy, particularly the role of the State in national development. This interest has resulted in a number of books including The State and Capitalist Development in Africa (1989). In the last decade my work has focused on the role of civil society in Africa's democratization. This interest has resulted in collaborative work with colleagues in Africa. The results of this collaborative work include an edited volume: Civil Society and Democratic Development in Africa (1999). Currently my research is on governance issues in Africa in light of globalization and the discourse on democracy.


My Opinion

When did Dr. Nyang'oro left Tanzania? Is he still connected with the people of Tanzania? Was this book his or president idea? Why now and not 2015? Will they come up with number 2?

There are many questions that i will like to here the answer from the author. For now nasubiria lini kiwekwe Amazon nijipatie copy yangu.
 
:A S 109:Wizara ya elimu inakosa viada vya shule, maprofesa wanapoteza muda kuandika vitabu vya kujipendekeza kwa wakubwa ili wawaone maana wanajiona wamesahauliwa. Ningempongeza angeandika kitabu cha taaluma kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari au vyuo vikuu kitabu kingekuwa na soko. Katu sipotezi pesa yangu kununua kitabu walichoandikwa kwa mtindo wa kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, ni kudanganyana:bump:
 
Back
Top Bottom