Elections 2010 JK 'alivyofunika' TABORA

Rafiki taratibu. Kwanini unatutukana? Jifunze kuchangia hoja kwa ustaarabu. Kila mahali wako watu wa ndiyooooo, lakini nasema hatudanganyiki mwaka huu.

Nakubaliana na wewe huu ni udhalilishaji si uchangiaji
 
Rafiki una data za mwaka gani wewe? Ilikuwa zamani. Hivi sasa wasukuma tunasoma aisee, acha kabisa.

aisee ikiwa kweli mtatoa viongozi dhaifu? mawaziri dhaifu? na kuwapigia kura watu wasio na tija kwao? maana ukitaka kulinganisha angalia fisadi wa musoma na fisadi wa shinyanga/mwanza yupi ana jenga shule kwao? au aliye mwaminifu wa mza/shy na aliye mwaminifu kilimanjaro yupi ana tija? au ni kwenda kumpigia makofi mfalme? na si semi ni lazima umchague mtu prof au mwenye digrii nk kama kuwa na tija kwa watu wake. ndio maana reli inauzwa watu wanashingilia tu? hoteli zinauzwa wao wanashangilia tu, shirecu/nyanza zina kufa wao wana shangilia tu, madini/samaki zaniondoka watu wana shangilia tu, utasema hao watu wameelimika kweli musee wangu?
 
Baada ya kuangalia documentary ya Tarime hasa part 3, nimethibitisha Makamba ana matatizo ya akili. Kweli Tarime ni ndio kiboko ya CCM
 
He has nothing to loose kwani akishinda kwa kuchakachua Kura na miahadi yote iyo isiyotekelezeka anamtupia zigo mgombea wa CCM 2015
Watu wako bize na maandalizi ya uchakachuaji huwezi amini kuna watu wameenda mpka nje ya nchi kijifunza
 
Originally Posted by Pdidy misukuma ilivyo mijinga inapiga makofiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaa iksubir..aijiuliziii alikuwa wapii miaka yoooooteeeeeeee

Wewe ngedele watake radhi wasukuma.Ni wapi jemedali wenu kaanza kuzomewa kama si kwa wasuma Shinyanga? Kwingine kote mlikuwa mnamlea kamaaaa--nanihiiiii.Nilitaka niandike neno la aibu juu yako nimekumbuka wewe ni mwanaJF .Jifunze kuanguka jamvini si kuingia kama Riziwani alivyoingia iring ana kutolewa Benzi.Tafakariii njomba utabaainiii tu

Huyo atakuwa Mgogo tu.Kama siyo mgogo basi atakuwa Mngoni.

Wameahidiwa mnada. Wangoni hawajaahidiwa kitu maana hawana akili (kama wanaweza kumpa mtu ubunge kwa sababu ya kuimba unategemea nini?. That is what they know.
 
TUNAWASUBIRI KIZIMBANI 31st Dec kwani naona nyie mmepewa akili lakini zipo kwenye makalio,na mnaziacha mlipokuwa mmekaa..Ungekuwa una akili ungetambua kwamba hakuna ulazima wa kuhama na watu kutokea mkutano flan na kuwapeleka mwingine ukawahutubia,lakini pia ukajiuliza kwa nini kama mtu una sera zinazohuzika utumie fedha nyingi kiasi hicho kwa kusomba watu tu..? Hakika hawa waarabu waliotoa magari,wengine mafuta ya bure kwenye sheli zao watazirudisha kwa kutolipa kodi zetu..ILA SIKU ZINAHESABIKA,kama siyo ninyi leo,kizazi chenu keshokutwa!

Kama hujui umuhimu wa ****** jaribu kukalia kichwa. :tonguez:
 
kiwanda cha nyama pale shinyanga kimewashinda, ndio itakuwa chuo kikuu? labda chifu makwai akawahamasishe
 
JK ----Miaka iliyopita marais wa zamani kama Mwinyi,ata mama nyerere walikuwa wanakampenia CCM cadidate.....kulikoni wewe ni mwanao ,mkeo na wapambe? wapi papaa Mkapa,Sumaye,Mwinyi?.......................YES TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
 

Mgombea Uraisi wa CCM, Komredi Kikwete amewaahidi wakaazi wa Tabora kuendelea kuyahamisha maji ya Ziwa Victoria ili neema hiyo iwafikie hapo lakini uzoefu tulioupata waonyesha bayana ya kuwa miradi hiyo ni ghali na inalenga kuwatengenezea wakubwa kidali cha kutafuna lakini walengwa wanaonufaika ni wachache mno.

Mradi kama huo wa kupeleka maji uliofanyika Shinyanga ulikadiriwa kugharimu Tshs bilioni 50 lakini ulipokuja kujengwa zaidi ya Bilioni 260 ziliteketezwa hapo noti zaidi ya mara tano ya makadirio ya awali!!!!!!

Wanavijiji walengwa wanaofaidi mradi huo hata hawafiki elfu tano na gharama za kulipia huduma hiyo zipo nje ya uwezo wao!

Yapo matatizo mengi ya kiuendeshaji kutokana na mipango mibovu. Nitataja mifano michache. Maji hayo yanasukumwa na pampu badala ya “gravity” matokeo yake gharama za umeme [au kukosekana kwa umeme] wa kuzisukuma hizo pampu mradi huo unashindwa kuzimudu na kusababisha serikali kutoa ruzuku ili kuiendesha kwa sababu haiwezi kujiendesha. Hivyo mradi huu ni “white elephant”.

Njia mbadala ya kuwahudumia wakaazi wa Shinyanga ilikuwa ni kuchimba visima kwani maji chini ya ardhi ni mengi mno katika mikoa yote ya kati. Kwa gharama ya kisima kimoja cha kuendesha kwa pampu ya kusukuma kwa mkono ni Tshs 20 milioni. Hivyo visima 13, 000 vingelijengwa Shinyanga kwa gharama hiyo ya fedha iliyoteketezwa awali vingelihudumia kwa wastani ya watu zaidi ya 500 kwa kila kisima. Jumla ya walengwa milioni 6.5 wangelinufaika bila zengwe.........

Gharama za uendeshaji wa visima hivi ni nafuu kwani hazihitaji umeme ila nguvukazi tu na matengenezo yake ni kwa nadra sana.

Ni lini tutaanza kutumia bongo zetu kumaliza umasikini?
 
Kisheria ninavyokumbuka wakati mimi nikifanya kazi in 1970s-1980s mtu akifungwa automatically anaachishwa kazi kama alikuwa mfanyakazi labda kwa serikali ya JK mambo waaaahhhhhh ikiwa anampigia debe Lowassa je kwa Rage is ok for them..... what a shame!!!!!

Bora CCM waondoke tumeshachoka nao wana uswahili mno aaagghrrr
 
IMG_2208.jpg




IMG_2224.jpg



Picha kwa niaba ya Michuzi

lindi mtoto wa nani alimtumia husna na mwalimu wake, huku unyanyembe mgombea ana mtumia huyu dada , hata kumuogopa mungu hawa muogopi ili mradi tungo linaenda kinywani. ni vizuri watu waka elimishwa, kinacho leta maendeleo sio kupiga picha na watu wenye shida au waliopungukiwa na kitu bali ni uongozi bora
 
..COZ CCM WALIPITA MITAANI NA MAGARI YAO WAKITANGAZA UWEPO WAO (ZEE COMEDY, MARLOW na DIAMOND) ZAIDI YA JK.:becky:

Ama kweli ukistaajabu ya Musa....

Sasa unategemea nini kwa chama kinachoongozwa na Makamba na Meneja wa Kampeni ati ni Kinana!
 
Hivi mtu ambaye alikishafungwa kwa makosa ya jinai kama Rage bado anruhusiwa kuwa kiongozi??? Hivi sheria inasemaje kuhusu watu wenye crinal trecords??? Maana kama sikosei Rage alifungwa miaka 2 vile??

Ni kweli kabisa kwamba mtu akihukumiwa kifungo huwa anapoteza sifa ya kugombea uongozi wa kisiasa kwa kipindi fulani. Rage, alifungwa na wakati akiwa anaendelea kutumikia kifungo wakili wake alikata rufaa. Wakati rufaa ikiwa inaendelea kusikilizwa, alipata msamaha wa Rais akatoka.

Expectations za baadhi ya watu (including me) zilikuwa kwamba mara baada ya msamaha wa Rais, Rage angefuta hiyo rufaa yake iliyokuwa ikiendelea, lakini hakuifuta. Hapo ndipo nilipo-take interest ya kutaka kujua kulikoni mtu kasamehewa na ametoka gerezani halafu bado anaendelea na rufaa.

Kumbe mwenzetu alikuwa bado ana ndoto za kisiasa, ndio maana aliendelea na rufaa yake na alishinda kesi. So, the criminal record was cleared by high court na hivyo akapata fursa ya kugombea Ubunge na kurudi kwenye mambo ya uongozi wa soka. Kama wadau wa soka watakumbuka vyema, nafasi aliyokuwa anashikilia kwenye uongozi wa soka, ilibaki wazi kwa muda mrefu ikiwa inasubiri hukumu ya rufaa yake.
 
I don't see anything wrong with the idea of having at least one university for every region in Tanzania.
I'd like this one to be called "SHINYANGA AM UNIVERSITY" or SHINYANGA TECH. UNIV (STU) specializing in Geological studies, Biotech, Fishery and mining engineering due to its proximity to the Geita and Mwadui mining sites as well as Sangara fishing industry in the lake Nyanza basin. I do not wanna see any social, arts or liberal studies....only Science and Tech.
Go JK

Yea it is true there is nothing wrong with that, but the fact is this is just politicking as usual. Mr. Kikwete will stop at nothing when desperately looking for votes.

Have you ever been at UDSM as of late???????? You won't believe what is there.... Can you imagine university students sleeping "mzungu wa nne"? The library consist of outdated books, mostly of the seventees and sixtees, Overcrowded lecture theaters, Students standing by the windows to attend lectures.

With all this pathetic situation, someone jumps up with promises and promises of building new universities. Shame on him Mr. JK
 
Hii ni ahadi tu ya uchaguzi. Baadaye watakwambia kuwa haitekelezeki.

Very true ... Bunda ambayo iko km chache kutoka Ziwa Victoria waliahidiwa maji uchaguzi wa mwaka 2005 kwamba mpaka kufikia 2010 wangekuwa wanapata maji ya kumwaga, mpaka leo hii hayajafika. Then unakwenda kuwaahidi watu wa Tabora walio mbali zaidi kwamba watapata maji kutoka Ziwa Victoria.

Juzi watu wa Bunda walipouliza ahadi ya maji vipi? Wakaambiwa fedha zipo, lakini Mkandarasi hajapatikana. Ndiyo hao ndugu zangu wa Tabora watakavyodanganywa ili waachie kura zao na baada ya hapo wanasahaulika kwa miaka mingine 5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom