Elections 2010 JK 'alivyofunika' TABORA

Image045.jpg

hii ni sehemu ndogo tu kati ya kubwa iliyo wazi ambayo michuzi hakuthubutu kuiweka
 
wajinga ndio waliwao.mwisho wa ccm tuliutabiri siku nyingi na sasa subuirini, haijawahi kutokea mjini watu wakaletwa na magari mbona siku ya mpira huo uwanja unajaa? au kikwete si maarufu kama milambo sports club.
 
Mimi nimesikia habari kama hizo Nzega, kuna wanakijiji waliletwa pale na malori, coaster na vihaisi ambao ndio walikuwa wanashangilia na kuleta shamrashamra lakini baada ya mkutano walitelekezwa pale uwanjani Samora na baada ya hapo kuna watu wengi sana walirudi vijijini wakiimba kuikashifu ccm na kuonyesha kuwa hawadanganyiki.
Akiwa anaendelea kuhutubia kuna umati wa watu baada ya kumsikiliza kwa mda waliamua kwenda kuchukua kadi ofisi za Chadema baada ya kuona kuwa hakuna jipya analowaeleza isipokuwa porojo za kuwaletea maji na kujenga barabara ambazo aliziahidi 2005 na hajazitekeleza.
Kwa ujumla kazi ni pevu!
 
Sasa mlitaka watu wote hao wafike uwanjani kwa miguu? Mungu kawaumbeni kwa kuweka akili zenu kwenye nyayo zenu badala ya kwenye vichwa vyenu ama ndiyo vipi? :becky: :becky: :becky:
 
Hapo ni baadhi ya mabasi yakileta watu hapa ilikuwa kwa ndani

Hapa malori na mabasi nje ya uwanja

Haya makundi unayoyaona siyo kwamba mkutano ulikuwa umeisha ni watu walikuwa wakitoka baada tu ya JK kuanza kuhutubia na baada ya kuangalia ze komedi

hii ni sehemu ndogo tu kati ya kubwa iliyo wazi ambayo michuzi hakuthubutu kuiweka

inanikumbusha skandnavia zilipokuwa zinabeba wanafunzi wachuo kuwapeleka Diamond Jubilee miaka flan Hiv watuwakapewa maji ya kunywa na Juice na kuambiwa hakuna mwanafunzi ambaye hata soma kwa sababu ya pesa, Duuu tuliporudi chuo tuu wanafunzi walizuiwa kupewa matokeo yao, na tulipogoma vyuo vilifungwa na hayo yakawa malipo ya kupanda hayo mabasi. PLEASE MIMI MWENYEWE YAMENITOKEA HAYO AMBAYE HAAMINI AENDELEE KUFURAHIA OFA ZA MAGARI TUU!
 
Swali kubwa ni hili hizo pesa za kugharamia JK kampeni zitarudi kwa njia ngani? kila mahali anapopita magari ya kusomba watu, helikopita, fulana, vitenge, kumi kumi n.k. wanatoa sio wajinga lazima pesa yao irudi! kwa kufisadi kila sekta ya umma au kufanya biashara haramu. Watanzania tuwe macho
 
Sasa mlitaka watu wote hao wafike uwanjani kwa miguu? Mungu kawaumbeni kwa kuweka akili zenu kwenye nyayo zenu badala ya kwenye vichwa vyenu ama ndiyo vipi? :becky: :becky: :becky:

TUNAWASUBIRI KIZIMBANI 31st Dec kwani naona nyie mmepewa akili lakini zipo kwenye makalio,na mnaziacha mlipokuwa mmekaa..Ungekuwa una akili ungetambua kwamba hakuna ulazima wa kuhama na watu kutokea mkutano flan na kuwapeleka mwingine ukawahutubia,lakini pia ukajiuliza kwa nini kama mtu una sera zinazohuzika utumie fedha nyingi kiasi hicho kwa kusomba watu tu..? Hakika hawa waarabu waliotoa magari,wengine mafuta ya bure kwenye sheli zao watazirudisha kwa kutolipa kodi zetu..ILA SIKU ZINAHESABIKA,kama siyo ninyi leo,kizazi chenu keshokutwa!
 
kaka hapo nilipobold umenifanya nicheke sanaaaaaaaaa!!!!!!!

Ahsante!
 
Safi saana Mnyamwezi wangu. Nilikuwa na hasira sana na Kabila langu kwa miaka mingi,

Ila sasa naona mwanga wa maendeleo ukianza kuwaka taratibu Tabora.

Hata huyo Rage akaze kamba akishinda maana mwaka 2015 cha moto anaweza kukiona.

WANYAMWEZI SI MABWEGE TENA.
 
Huyu jamaa mzima kweli??????

Source: Habari leo

Kikwete aahidi chuo kikuu Shinyanga

BAADA ya kukamilika ujenzi wa vyuo vikuu vya Dodoma na Mwalimu Nyerere mkoani Mara, utafuata ujenzi wa chuo kikuu cha Shinyanga.

Hiyo ni ahadi ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, aliyoitoa juzi baada ya kuombwa na wakazi wa wilaya za Bukombe na Kahama, kwenye mikutano ya kampeni.

Akiwa Bukombe, mgombea ubunge, Emmanuel Luhahula, aliomba chuo kikuu mkoani humo kwa sababu hawana chuo kama hicho.

Naye mgombea ubunge wa Kahama James Lembeli, aliomba chuo kikuu hicho ili kusaidia vijana wa mkoa huu.

Mbunge wa zamani wa Msalala, Ezekiel Maige ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, aliomba kujengwa chuo cha ufundi ili kutoa fursa kwa vijana wa Kahama kupata ajira ikiwamo migodini.

Akizungumza na wananchi wa Kahama kwenye uwanja wa michezo mjini humo, Kikwete , alisema ujenzi wa chuo kikuu ni lazima, lakini kwanza amalize vya Dodoma na Butiama.

"Ngoja tulitafakari vizuri, lakini ni lazima tujenge. Kwa sasa tunakamilisha Dodoma na kisha Butiama kwa heshima ya Mwalimu Nyerere … baada ya hapo, tutaliangalia hili," alisema.

Akizungumzia tatizo la maji, alisema Kahama kwa sasa haina matatizo hayo baada ya kupata maji ya Ziwa Victoria, isipokuwa vijiji 15 vilivyopo kilometa 15 kutoka mradi huo, vitapewa maji na tayari zimetengwa Sh bilioni 12.9 kufanikisha kazi hiyo.

Kuhusu barabara za mjini hapa, aliagiza zijengwe haraka kwa sababu fedha zimetolewa na kuwataka viongozi wa Serikali wanaogombana juu ya kujengwa kwa barabara hizo, kumaliza tofauti zao haraka.

Jumla Maoni (2)

Maoni ( huko huko habari leo)
1. anauhakika mpaka chuo cha dodoma kimalizwe kujengwa na kuanzwa kujengwa mpaka kmalizwa kwa chuo kingine cha kumbukumbu ya mwl nyerere atakuwa bado yupo madarakani na kama atakuwa ametoka anajuaje hao wanaofuata kama watakuwa na wazo kama lake au ilikuwa kuwapa moyo wana shy ili apate kura zao? wananchi tusidanganyike.

2. Kikwete hizo sound tu za kutaka kura,kama mwenzangu hapo juu anavyosema kuna vyuo mbili viishe then uanze shinyanga?angalau ungetudanganyia ukasema ile shaicom unaibadili kuwa chuo kikuu kama ulivyofanya chang'ombe......usituzuge bwana......

Mimi binafsi sidanganyiki
 
hizi ahadi hewa and unsound i don want to hear,chuo kikuu dodoma hakina mabweni ya kutosha wanafunzi,hakina walimu wa kutosha hakina social services na maktaba,ukija vyuo vya umma vyote vina matatizo chungu nzima serikali imeshindwa kutatua ndio maana migomo haiishi kwa wasomi bado anadai atajenga chuo kikuu shinyanaga????????????????????????????????????????????????????????kweli mabogas ni wengi
 
Wakati huo huo UDSM wanaomba michango ya kupaka rangi majengo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unajua mambo kama haya yangekuwa ndiyo ayafafanue sasa kwenye debate. Huyu blaza nna wasi wasi kichwa yake haiko sawa!
 
Ametangaza pia mkuu wa chuo hicho atakuwa ridhiwani mwakikwete na director of studies atakuwa january makamba, security officer wa chuo kinana
 
Huyu jamaa mzima kweli??????

Source: Habari leo

Kikwete aahidi chuo kikuu Shinyanga

BAADA ya kukamilika ujenzi wa vyuo vikuu vya Dodoma na Mwalimu Nyerere mkoani Mara, utafuata ujenzi wa chuo kikuu cha Shinyanga.

Hiyo ni ahadi ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, aliyoitoa juzi baada ya kuombwa na wakazi wa wilaya za Bukombe na Kahama, kwenye mikutano ya kampeni.

Akiwa Bukombe, mgombea ubunge, Emmanuel Luhahula, aliomba chuo kikuu mkoani humo kwa sababu hawana chuo kama hicho.

Naye mgombea ubunge wa Kahama James Lembeli, aliomba chuo kikuu hicho ili kusaidia vijana wa mkoa huu.

Mbunge wa zamani wa Msalala, Ezekiel Maige ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, aliomba kujengwa chuo cha ufundi ili kutoa fursa kwa vijana wa Kahama kupata ajira ikiwamo migodini.

Akizungumza na wananchi wa Kahama kwenye uwanja wa michezo mjini humo, Kikwete , alisema ujenzi wa chuo kikuu ni lazima, lakini kwanza amalize vya Dodoma na Butiama.

“Ngoja tulitafakari vizuri, lakini ni lazima tujenge. Kwa sasa tunakamilisha Dodoma na kisha Butiama kwa heshima ya Mwalimu Nyerere … baada ya hapo, tutaliangalia hili,” alisema.

Akizungumzia tatizo la maji, alisema Kahama kwa sasa haina matatizo hayo baada ya kupata maji ya Ziwa Victoria, isipokuwa vijiji 15 vilivyopo kilometa 15 kutoka mradi huo, vitapewa maji na tayari zimetengwa Sh bilioni 12.9 kufanikisha kazi hiyo.

Kuhusu barabara za mjini hapa, aliagiza zijengwe haraka kwa sababu fedha zimetolewa na kuwataka viongozi wa Serikali wanaogombana juu ya kujengwa kwa barabara hizo, kumaliza tofauti zao haraka.

Jumla Maoni (2)

Maoni ( huko huko habari leo)
1. anauhakika mpaka chuo cha dodoma kimalizwe kujengwa na kuanzwa kujengwa mpaka kmalizwa kwa chuo kingine cha kumbukumbu ya mwl nyerere atakuwa bado yupo madarakani na kama atakuwa ametoka anajuaje hao wanaofuata kama watakuwa na wazo kama lake au ilikuwa kuwapa moyo wana shy ili apate kura zao? wananchi tusidanganyike.

2. Kikwete hizo sound tu za kutaka kura,kama mwenzangu hapo juu anavyosema kuna vyuo mbili viishe then uanze shinyanga?angalau ungetudanganyia ukasema ile shaicom unaibadili kuwa chuo kikuu kama ulivyofanya chang'ombe......usituzuge bwana......

Mimi binafsi sidanganyiki

My take! Hakuna tofauti kati ya ahadi hizi na za ELIMU BURE.
 
hizi ahadi hewa and unsound i don want to hear,chuo kikuu dodoma hakina mabweni ya kutosha wanafunzi,hakina walimu wa kutosha hakina social services na maktaba,ukija vyuo vya umma vyote vina matatizo chungu nzima serikali imeshindwa kutatua ndio maana migomo haiishi kwa wasomi bado anadai atajenga chuo kikuu shinyanaga????????????????????????????????????????????????????????kweli mabogas ni wengi

Sasa bogas ni nani hapa? Mdanganywa au Mdanganya???
 
Safi saana Mnyamwezi wangu. Nilikuwa na hasira sana na Kabila langu kwa miaka mingi,

Ila sasa naona mwanga wa maendeleo ukianza kuwaka taratibu Tabora.

Hata huyo Rage akaze kamba akishinda maana mwaka 2015 cha moto anaweza kukiona.

WANYAMWEZI SI MABWEGE TENA.

Hivi mtu ambaye alikishafungwa kwa makosa ya jinai kama Rage bado anruhusiwa kuwa kiongozi??? Hivi sheria inasemaje kuhusu watu wenye crinal trecords??? Maana kama sikosei Rage alifungwa miaka 2 vile??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom