Elections 2010 JK 'alivyofunika' TABORA

Mhh, nipo hapa nasubiri picha za wana CHADEMA na nimeona za CCM.

Nikiona zote basi nachanganya Za kuambiwa na za kwangu.

Ila kwa kuwafahamu Wanyamwezi, inawezekana hali ilikuwa hivi:

Walifika mapema na kupata burudani. Alipoingia Kikwete, wakakaa kumsikiliza na picha zikapigwa ambazo tunaona zipo kwa Michuzi. Walipoona stori ni zilezile basi wakaanza kujiondoa taratibu na ndiyo maelezo ambayo Revocatus kaandika.

Nasubiri picha zote tuone kipi ni kipi maana siku hizi wote tumekuwa Mbayuwayu ati.
 
IMG_1863.jpg



IMG_1949.jpg




IMG_1980.jpg




IMG_2044.jpg
 
Mkulu anagongesha!!!!

IMG_2053.jpg




IMG_2087.jpg




Akiwa na mgombea ubunge Tabora Mjini Bw. Ismael Aden Rage!

IMG_2166.jpg




IMG_2198.jpg
 
Nimeshiriki kuujenga enzi hizo nikiwa mwanafunzi tbr school aka berlin kabla jamaa hawajauteka eti ni wa ccm
 
Mbona mashati meupe ni mengi sana jukwaani? Inaonekana rangi nyeupe ni favorite color in Tabora.
 
Mwananchi, la leo limetoa habari kuwa mgombea wa ccm zenga naye, amekataliwa na wananchi mbele ya jk, mwenye habari zaid atufahamishe
 
IMG_2208.jpg




IMG_2224.jpg



Picha kwa niaba ya Michuzi

Huyo dada yuko na JK na katikati ya Michuzi na mwenzie nina mfahamu ni mlemavu hana mikono, wala JK hana mchango wowote katika kumsaidia huyo binti kwani toka kichanga kimelelewa kwa masista wa huruma kama wale wa Mburahati pale Tabora RC Cathedral. Hii inaonesha akina Michuzi ndio wanamtafutia JK walemavu kila anapokwenda, ujinga kabisa huo.

Picha za Michuzi haziwezi kuwa na ujumbe kamili.
 
mhh, nipo hapa nasubiri picha za wana chadema na nimeona za ccm.

Nikiona zote basi nachanganya za kuambiwa na za kwangu.

Nasubiri picha zote tuone kipi ni kipi maana siku hizi wote tumekuwa mbayuwayu ati.

ki-ukweli nipo naangalia kwenye taarifa ya habari tbc1 wamechakachua picha,wameelekeza upande ambao watu walikaa kwa wigi na kuacha sehemu kubwa ya uwanja bila kuionyesha ikiwa empty kama ilivyokuwa na kwa taarifa yenu watu wenyewe asilimia kubwa ni wana-vyuo na watoto....hivi kakuambia nani sisiemu wakuonyeshe picha za malori na mabasi yanayoleta watu?

Invisible amepewa hizo picha,ziweke tafadhali watu wajionee hata upande mkubwa wa uwanja ulivyokuwa empty tofauti na ccm wanavyoonesha,but also jinsi makundi ya watu wakiondoka utadhani ndio mkutano umeisha kumbe mheshimiwa anahutubia.
 
Huyo dada yuko na JK na katikati ya Michuzi na mwenzie nina mfahamu ni mlemavu hana mikono, wala JK hana mchango wowote katika kumsaidia huyo binti kwani toka kichanga kimelelewa kwa masista wa huruma kama wale wa Mburahati pale Tabora RC Cathedral. Hii inaonesha akina Michuzi ndio wanamtafutia JK walemavu kila anapokwenda, ujinga kabisa huo.

Picha za Michuzi haziwezi kuwa na ujumbe kamili.

Kabsaa,anatoa zile zinazoonesha umati mkubwaa,na hata ungekuwa wewe mwajiriwa wa CCM lazima ufanye hivyo..Sitaki kuwa mnafiki,watu waliingia na kujaa karibia NUSU uwanja,ILibidi kabla JK hajafika wanachuo waombwe kushuka na kukaa katikati ya uwanja sehemu ambayo ni karibu na JK anahutubia ili itakapochukuliwa picha waonekane walikuwa wengi..!hata ukimuuliza michuzi atakuambia kama si mnafiki pia,lakini nani akupigie picha ya ENEO KUUBWA Tena zaidi ya NUSU likiwa halina watu,akuoneshe malori na mabasi na analipwa na CCM?
 
revocatus, mbona picha hatuzioni? au invisible amezibania?
 
Watuoneshe na picha ya Ze Comedy na Marlaw wanavyoimba na kujefanya wanawake.
Mjinga ndio aliwae.Hata Ze Comedy wanasema,Mbona hamshtuki?wao wako kimaslahi zaidi.
 
Wana JF leo nimebahatika kuwa katika moja ya mikutano 'mikubwa' ya JK katika kampeni zake mikoani katika uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora. Lengo kubwa ilikuwa ni kujishuhudia mwenyewe yale niliyokuwa nikisoma humu na magazetini! Yafuatayo yalijitokeza

>Yalikuwepo malori,coasters na mabasi makubwa maarufu km yaendayo mikoani yaliyokuwa yakichukua watu kutoka vijiji vya mbali na kuwaleta hapo uwanjani.

>Mkutano ulijaa watoto na wanafunzi wa vyuo vya Uhadhiri,Ualimu,Veta etc ambao walipewa T-shets,kofia na baadaye jioni jioni nikashuhudia 'wakitolewa' na wao kujipongeza kwa bia.

>KUBWA ZAIDI, baada ya JK kuingia mnapo saa 11.17 na kukaribishwa jukwaani,HUWEZI Amini umati mkubwa wa watu ulianza kuondoka uwanjani kama vile aliyekuwa akiongea,potelea mbali ni kuwa mgombea bali ni raisi. Sababu kubwa baada ya kudadis ni watu kusema anarudirudia yale yale amabayo siku ya wanawake duniani alipokuja aliongea hayo hayo..na sera yenyewwe ilikuwa kuleta maji kutoka ziwa victoria kutokea shinyanga,barabara etc ambayo wanasema ni nyimbo za kawaida. KIFUPI HII NDIYO TOPIC KUBWA HAPA TBR KUHUSU KUKIMBIWA KWA JK.WATU WAMEMCHOKA MBAYA!

N:B,nina picha ya matukio yote yaliyojitokeza kama vile hayo malori,mabasi makubwa na umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukitoka nje lakini bahati mbaya nmeshindwa ku-upload hapa..Kam kuna mwana JF anaweza kuzi-upload aweke e-mail yake hapa nami nitamtumia na kuzimwaga hapa.



Picha za malori mbona hakuna UA INVISIBLE KAZICHAKACHUA?
 
Image025.jpg Image026.jpg

Hapo ni baadhi ya mabasi yakileta watu hapa ilikuwa kwa ndani
Image069.jpg

Image070.jpg

Hapa malori na mabasi nje ya uwan
Image060.jpg

Image059.jpg

Image071.jpg


Image066.jpg

Haya makundi unayoyaona siyo kwamba mkutano ulikuwa umeisha ni watu walikuwa wakitoka baada tu ya JK kuanza kuhutubia na baada ya kuangalia ze komedi

N:B picture quality,nilitumia simu
 


Hapo ni baadhi ya mabasi yakileta watu hapa ilikuwa kwa ndani







Hapa malori na mabasi nje ya uwanja

















Haya makundi unayoyaona siyo kwamba mkutano ulikuwa umeisha ni watu walikuwa wakitoka baada tu ya JK kuanza kuhutubia na baada ya kuangalia ze komedi







hii ni sehemu ndogo tu kati ya kubwa iliyo wazi ambayo michuzi hakuthubutu kuiweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom