adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 2,888
- 4,389
Umeongea jambo zito sana.Hakuna pesa rahisi na haitokuja kutokea pesa ikawa rahisi.Mkuu much respect.Kuishi maisha mazuri kunahitaji sacrifice .
Unaweza kuta anafanya mishe za mitandaoni ambazo kupata au kupoteza ni njee njee kitu ambacho hata leo akikushirikisha utagoma either kwa hofu ya kupoteza ulichonacho au unaweza kumuita tapeli.
Kumbuka hakuna pesa rahisi