Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine.

Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa.

Baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua. Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia.

Kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani. Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.

Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje. Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.

Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.
 
Hayo ndio madhara ya mke kumpa tigo mumewe na mwishowe mumewe kunogewa na kwenda kuanza kuliwa yeye.....mla huliwa
 
Mama anadai mumewe hajawahi kumuomba tigo(alivowaambia kina mama wenzake) na amestushwa sana na jambo hili.
 
Very sad,is it that he has female hormones...sorry to his wife!!!for more news visit ma page and click free money
 
mmh ...........hii inatisha! waswahili hawajakosea kumbe ....laana inatia upofu! yaani umeshindwa kufanya kote huko mpaka chini ya nyumba! loh

pole kwa huyu mwanamke kukumbwa na fedheha ya namna hiyo bila ya yeye kuwa na kosa katika hili.
 
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine. Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa,baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua.Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia, kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani.Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje.Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.

jamani hii mbona laana.... nina rafiki yangu mmoja yalimpata haya ikabidi aombe talaka na walifunga ndoa kanisani....hivi hii inasababishwa na nini? najaribu kujiweka nafasi ya huyo mwanamke sipati picha
 
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine. Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa,baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua.Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia, kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani.Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje.Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.

hehehe hapo buluu hapo, kuna lishoga limoja liko huku kijijini lina kifua kama dari ya ukumbini , haki ya nani huwezi kuamini kama jamaa wanalikoromea , kuna siku liliibiwa viatu vyake lilitembeza mkong'oto karibia kitaa kizima.
 
ha ha haa haa haa..
sipati picha watu marijali wakipewa kichapo na shoga...
inachekesha......
 
Vijana wa mjini wanawaita mchicha mwiba........analiwa na ila na yeye anakula.....infact ana-charge betri yake ili ampigie mkewe...
Kuna dhambi ambayo mtu akifanya hawezi kuacha asilani.
 
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine. Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa,baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua.Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia, kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani.Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje.Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.

TV kubwa = Big screen sio? yaani mpaka hili kombe la dunia kuisha tutasikia vituko vingi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom