Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa

Dhambi gani RR, bigi skrini au hiyo mambo ingine...??
Kama ni hiyo mambo ingine basi utachomeka tu na moto wa milele..:mmph:
Hii mambo ya kukaa mbele ya mtu ingine huku umeacha mkeo ndani.....ya big screen nafaham jinsi ya kuungama!
 
Hii mambo ya kukaa mbele ya mtu ingine huku umeacha mkeo ndani.....ya big screen nafaham jinsi ya kuungama!

Hiki kizazi ni cha laana; cna uhakika kama Mungu anaweza kughairi hasira zake juu ya huu uchafu!!
 
Hiki kizazi ni cha laana; cna uhakika kama Mungu anaweza kughairi hasira zake juu ya huu uchafu!!

Kumbuka wanafanya kwa uwezo wa Mungu mwenyewe, lasivyo wasinge fanya. Wa kulaumiwa n Mungu ambae anaweza kuwazuia.
 
Hayo ndio madhara ya mke kumpa tigo mumewe na mwishowe mumewe kunogewa na kwenda kuanza kuliwa yeye.....mla huliwa
...Wagosi wakaya walisema wanaume wanashikishwa ukutwa....kumbe ni kweli.............:whistle::whistle::whistle:
 
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine. Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa,baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua.Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia, kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani.Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje.Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.

Vipi Jirani aliyekuwa analawitiwa amerejea home?
 
isue nyingine nikae kimya nisijifanye najua kuchangia kila kitu.nisijepata laana ambayo hainihusu.
 
jamani hii mbona laana.... nina rafiki yangu mmoja yalimpata haya ikabidi aombe talaka na walifunga ndoa kanisani....hivi hii inasababishwa na nini? najaribu kujiweka nafasi ya huyo mwanamke sipati picha
shetani siyo mpumbavu kama tunavyodhani, na yuko kazini kisawa sawa, na tena mipango yake ni up todate kweli kweli, daima kushindana naye huwezi usipokaa upande wa Mungu ambaye huzijua njia zake nyingi, na ukikaa upande wa Mungu uwe hodari na mtiifu kwa neno la Mungu pasi na kuacha hata chembe moja ikupite,
Pia tambua kuwa akishindwa katika ulimwengu wa roho huvaa mwili, na kuichezea nafsi yako na ufahamu wako, sasa akikuta kuwa wewe ni mhudhuriaji tu wa ibada lakini hu moto, basi atakushawishi kutenda mabaya, Angalia kitabu cha Mathayo 4 :1-10 utaona jinsi huyu mwovu alivyo mjanja sana, lakini tunaona kuwa Yesu alimshinda kwa kuwa neno lilikaa kwa wingi ndani yake, na neno ni siraha kali
kwa shetani
 
Vipi Jirani aliyekuwa analawitiwa amerejea home?

Jamaa mpaka leo usiku hajaonekana na mama kamwambia wife hataki hata kumuona na nyumba wanayoishi mama aliachiwa na wazazi wake walipofariki na anasema atalea mtoto peke yake na kuanza hatua za talaka.Jamaa aliacha Vitara alipokurupushwa watu usiku na mchana wanaangalia atakapoifata.
 
Kumbuka wanafanya kwa uwezo wa Mungu mwenyewe, lasivyo wasinge fanya. Wa kulaumiwa n Mungu ambae anaweza kuwazuia.

Mungu amekupa utashi wa kujua jema na baya........kwahiyo siye yeye wa kulaumiwa ni wewe kwa kushindwa kuutumia utashi wako vizuri.....
 
Back
Top Bottom