Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa

TV kubwa = Big screen sio? yaani mpaka hili kombe la dunia kuisha tutasikia vituko vingi kweli kweli.
Hii ni maana nyingine ya big screen.....hivi sasa naacha rasmi kutumia kisingizio cha big screen.....
 
Huyo mama kakosea kupiga mayowe hii aibu naye anaipata.
Tutaaminije kama naye alikuwa haliwi?
 
Mungu atusamehe sana ..Naona Sodoma na Gomora inaendelea kwa kasi ya ajabu

Kama dhambi zetu zingetuunguza sisi wenyewe isingekuwa shida. Tatizo hapa ni huyo mama ambaye itabidi kujificha ili asionekane mitaani kama vile ana arobaini ya kufiwa na mume! Inauma sana. Mama wa watu sasa ataificha wapi sura yake? Huyo njemba wala simuonei huruma yoyote kwa sababu hajabakwa!
 
Kijana alikuwa anamwekea chaji akitoka hapo anakimbia mbio kwa mkewe ishasimama................au la kadanganywa na mganga wa kienyeji
 
Dah hii kali sasa jamaa kumbe naye yupo ila inawezekana jamaa akipewa haya mambo na yeye ndio anatoa kwa waifu
 
Tulifundishwaga mafundisho na sister kuwa siku za mwisho zikifika Yesu atakapokuja kuwahukumu wazima na wafu makosa yetu yataoneka kama kwenye projector kubwaaaa itakayokuwa hewani. Kama ni kweli mh? tutaona ya ajabu sana just imagine............ anakuwa ndio bosi wako aliyekuwa anakunyanyasa ofisini kumbe......
 
Huyo mama kakosea kupiga mayowe hii aibu naye anaipata.
Tutaaminije kama naye alikuwa haliwi?

Mkuu rudia kusoma kisa, aliyekuwa mbele ni mumewe na nyuma ni kijana hii ni dhahiri kuwa aliyekuwa aliwa ni mumewe. sasa sidhani kama mliwaji naye atataka kula!
 
Askofu huyu jamaa kaharibu kabisa maana ya big screen!
BTW: hivi dhambi inasameheka?

Dhambi gani RR, bigi skrini au hiyo mambo ingine...??
Kama ni hiyo mambo ingine basi utachomeka tu na moto wa milele..:mmph:
 
Tulifundishwaga mafundisho na sister kuwa siku za mwisho zikifika Yesu atakapokuja kuwahukumu wazima na wafu makosa yetu yataoneka kama kwenye projector kubwaaaa itakayokuwa hewani. Kama ni kweli mh? tutaona ya ajabu sana just imagine............ anakuwa ndio bosi wako aliyekuwa anakunyanyasa ofisini kumbe......

He he heee... Hebu fikiria ya kwako mpaka leo ni Mangapi.... Halafu tumejipanga pale tunayashuhudia....:jaw:
 
Back
Top Bottom