Jinsi ya Kuzima Hoja za upinzani

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,068
Kwanza Kova atakuja na neno "Inteligensia" ili kuhalalisha hakuna maandamano.

Pili, serikali imebuni mbinu ya mahakama, ili hoja isijadiliwe. Hivyo, wasemaji wote wanaitumia mbinu hii,

Mfano, -Ishu ya mtekaji wa Ulimboka,
- Ishu ya madaktari
- Ishu ya balali kipindi kile nk

Wakuu hapa tutatokaje?
 
wenzetu walioendelea muda mrefu (wazungu/Japan) waliyajua haya muda mrefu sana na wakasema "unaweza kujua mvua kuwa itanyesha lakini huwezi kuifanya inyesha". vilevile wakasema "you can't stop the rain".

Hivi Mh. Makinda na Lukuvi (sina uhakika na elimu zao) ina maana hawajui kuwa wakati wa Berlin Conference, tayari zile nchi za Uingereza, Labour na Conservative zilikuwepo, pia Ujerumani nao walikuwa na multi parties?
Sasa hawawezi kujifunza kuwa hawa jamaa walivyokuja kututawala walisahau vyama vyao na kuangalia maslahi ya nchi zao na ndio maana walifanikiwa?
Je hawaoni Wakenya zinapokuwa KCB, Uchumi kuwekeza Tz hawaongelei ODM, PNU, KANU nk?
Ina maana hawa wanaangalia TBC pekee na kusoma Uhuru na Mzalendo tu????? Fungukeni, tokeni ndani ya nyumba muone yanayoendelea nje ...Lukuvi, Makinda, Mwigulu, Mhagama!!!!!
 
kwanza kova atakuja na neno "inteligensia" ili kuhalalisha hakuna maandamano.

Pili, serikali imebuni mbinu ya mahakama, ili hoja isijadiliwe. Hivyo, wasemaji wote wanaitumia mbinu hii,

mfano, -ishu ya mtekaji wa ulimboka,
- ishu ya madaktari
- ishu ya balali kipindi kile nk

wakuu hapa tutatokaje?

mkuu umesahau kulikuwa na neno la kamati inalifanyia kazi!
 
Back
Top Bottom