Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni. Mjini its all about strategies and finding ways of reducing life expenses. Kama kuna watu kweli wana install hzo dish na decoder sasa kwann mtu usinunue ?? Receiver zao zimejaa kibao karikoo/posta zinauzwa na bandarini zinapitishwa !! Majanga haya.... Kua uyaone mdogo wangu.
Wakuu habari, samahani kwa kuingilia mada. Mimi ninatatizo kuhusiana na huduma ya dstv XtraView, tangu niinunue siku ya nne inaniambia no communication from primary decorder! Inaonekana CCTV pekee! Naomba msaada wenu ili niweze kutatua hili tatizo. Nliwafuata ofisini wakasema pamoja na kunifungulia lakini lazima ntafute fundi wa kunifanyia installation, lakini nliowapata naona wanahangaika tu. Natanguliza shukrani kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.