Jinsi ya kuunga internet na dstv for free !!!!

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Hello, wadau kuna mtu yeyote anayejua ni vipi ntaweza nikapata internet service ya wizi na bei nafuu....na kuchakachua niweze kupata dstv channels for free.....coz nimesikia kuna watu wafanya hio michezo town hapa!!!
 
mnhh mbona mimi napigaga castama kea yao 112 wananifundishaga tutriki twao twa kuiba bureeeeeee
 
ok seriousily kwa dstv if u want to get it free ni kwamba there agents kutoka china wamedizain a fta reciever along side device moja inaitwa avatar dongle hii ina discramble locked channels na sio dstv to bal my tv, canalsat na other pay tvz. Google 2011 fta reciever and avatar dongle version 2. Hizi they really work unaweza ukawasiliana na agents hao directly mwenyewe na uka agiza hzo vifaa they cost i thnk kama dollar 120 hv sema pia utatakiwa 2 have 2 dishes and ur gud to go. Also pia namjua fundi yeye kasema he does this also kla k2 iko juu yake mpaka da final instalattion sema yeye anacharge kilo 350. And also hzo dongles are updated every kama 2 months coz dstv dey change codes so it updates automatically it can get scrambled 4 couple of min then znafunguka tena.
 
mkuu ni PM contact za huyo fundi
 
Hello, wadau kuna mtu yeyote anayejua ni vipi ntaweza nikapata internet service ya wizi na bei nafuu....na kuchakachua niweze kupata dstv channels for free.....coz nimesikia kuna watu wafanya hio michezo town hapa!!!
Kajifunze jinsi ya kuandika titles ndo urudi humu jamvini
 
Hello, wadau kuna mtu yeyote anayejua ni vipi ntaweza nikapata internet service ya wizi na bei nafuu.... kuchakachua niweze kupata dstv channels for free.....coz nimesikia kuna watu wafanya hio michezo town hapa!!!
Senior manager unataka vya wizi. Mashirika yetu yatapona kweli? Nna mashaka!!!
 
i guec , this means business and no help

Sasa unafikiri hizo nyungo mbili decodder ya mpeg 4 na hicho data convetor nimnunulie mimi? Na je anajua vinapopatikana? Maana kitu kama data convertor naweza nikamuelekeza duka lakini asipate
 
Back
Top Bottom