Jinsi ya kupata Free Courses kutoka Udemy

Mwamboro

Member
Jan 4, 2017
33
24
Hello wanaJamiiForums,

Bila kupoteza muda twende kwenye point ya kichwa hapo juu. Nitaeleza short jinsi ya ku access kozi yoyote kutoka UDEMY for free bila payment yeyote.

Watu wengi wamekua wakitamani kusoma kozi nyingi kupitia online academy nyingi(mfano udemy) lakin tatizo ni kulipia kila kozi unayotaka usome.

Kupitia website ya disci udemy (English Courses - Free Udemy Courses - DiscUdemy) unaweza kupata kozi yeyote kutoka Udemy Free kabisa, cha kufanya register account yako Udemy alafu ingia katika tovuti Udemy na uchague kozi unayoitaka baada ya hapo kuna link ya hio kozi utapewa ambayo ukiifungua itakupeleka moja kwa moja udemy na hapo utaisoma bila malipo yoyote

#maswali yanaruhusiwa
Screenshot_20191012-175008.jpeg

Screenshot_20191012-175221.jpeg
Screenshot_20191012-175243.jpeg
Screenshot_20191012-175308.jpeg
Screenshot_20191012-175416.jpeg
Screenshot_20191012-175442.jpeg
 
Shukrani sana mkuu. Naamini hii itanifaa sana kwa kujifunza.
Courses za computer maintenance na programmings zitakuwepo huko pia?
 
Watu wengi wamekua wakitamani kusoma kozi nyingi kupitia online academy nyingi(mfano udemy) lakin tatizo ni kulipia kila kozi unayotaka usome.

Kwa nini utake kusoma kozi ambayo huwezi kulipa? UDemy kuna kipindi wanatoa ofa ya karibu kila kozi $19. Sasa kama kozi ya $190 inashushwa mpaka $19 na bado huwezi kulipia, tatizo sio pesa. Bongo Tatizo letu ni Wizi. Vibaka wa mtandaoni. Mengine hayo ni chai tu!
 
Unalipia kwa njia ya mpesa au..?
Kwa nini utake kusoma kozi ambayo huwezi kulipa? UDemy kuna kipindi wanatoa ofa ya karibu kila kozi $19. Sasa kama kozi ya $190 inashushwa mpaka $19 na bado huwezi kulipia, tatizo sio pesa. Bongo Tatizo letu ni Wizi. Vibaka wa mtandaoni. Mengine hayo ni chai tu!
 
hizi ni course zenye free Coupon kwa wakati fulani!

Kuna course nzuri hauwezi pata kwenye hiyo site ulotoa!

Ukitaka kupata baadhi ya Premium courses zenye Reviews na Ratings nzuri tembeleahii tovuti hapa chini!
Itakudai u disable Ad block kama unaitumia!

Content ya Udemy sometimes unaweza llipia afu course ikawa chini ya expectatons zako!
Ukajikuta umeingia chaka, labda instructor ana poor presentation skills au content haikuridhishi pale unapojaribu kupitia kitabu!
Mwishoni unaweza kuta inakubidi kuzi bypass...afu mdau alizotoa sio wizi ni Free Coupons ambazo wanazitngeneza wale wenye course zenyewe!
 
Content ya Udemy sometimes unaweza llipia afu course ikawa chini ya expectatons zako!
Ukajikuta umeingia chaka, labda instructor ana poor presentation skills au content haikuridhishi pale unapojaribu kupitia kitabu!
True that. Lakini ndio biashara. Hata kwenye nyanya na vitunguu iko hivyo. Ndio maana ni vyema kusoma ratings za waliotangulia kabla hujaweka fedha zako. Pia kuna kozi watoaji wanatoa guarantee ya money back kama hujavuka level fulani. All in all lazima ufanye due dilligence kabla ya kununua!

Mwishoni unaweza kuta inakubidi kuzi bypass...
Huu sasa ndio wizi wenyewe na sio sawa kufanya hivyo ka sababu yeyote ile!

afu mdau alizotoa sio wizi ni Free Coupons ambazo wanazitngeneza wale wenye course zenyewe!
My bad. Nilichanganya na zile site za ku download/bypass security ili uibe course ambayo hujailipia. My apologies to OP kwa hili!
 
hizi ni course zenye free Coupon kwa wakati fulani!

Kuna course nzuri hauwezi pata kwenye hiyo site ulotoa!

Ukitaka kupata baadhi ya Premium courses zenye Reviews na Ratings nzuri tembeleahii tovuti hapa chini!
Itakudai u disable Ad block kama unaitumia!

"Download Udemy Paid Courses for Free"
That alone should raise your eyebrow
 
Anayesema kwamba huu ni wizi ukute yeye kwenye PC yake anatumia Pirated Windows, Pirated Microsoft Office, na anadowload movies kutoka kwenye torrent ambayo hajawahi kuilipa hata senti tano.Acheni double standards nyie, sisi ni third word country hela tuliyonayo ni ya kununua chakula tu, hivyo vingine tutatumia bure tu kwa namna yoyote.
All in all mtoa mada nashukuru sana kwa kuleta hii thread, itatusaidia sana watu wengi kupata courses za Udemy bure
 
kuna Linux na kuna Open source office bundle kama Libre...Haulipii kitu!
Kuiba sio lazima Mkuu...kama unaona haifai sio kwamba alternatives hakuna...Thanks to the The Free Software Foundation
 
Back
Top Bottom