Mwamboro
Member
- Jan 4, 2017
- 33
- 24
Hello wanaJamiiForums,
Bila kupoteza muda twende kwenye point ya kichwa hapo juu. Nitaeleza short jinsi ya ku access kozi yoyote kutoka UDEMY for free bila payment yeyote.
Watu wengi wamekua wakitamani kusoma kozi nyingi kupitia online academy nyingi(mfano udemy) lakin tatizo ni kulipia kila kozi unayotaka usome.
Kupitia website ya disci udemy (English Courses - Free Udemy Courses - DiscUdemy) unaweza kupata kozi yeyote kutoka Udemy Free kabisa, cha kufanya register account yako Udemy alafu ingia katika tovuti Udemy na uchague kozi unayoitaka baada ya hapo kuna link ya hio kozi utapewa ambayo ukiifungua itakupeleka moja kwa moja udemy na hapo utaisoma bila malipo yoyote
#maswali yanaruhusiwa