Kakubilo Kasota
Senior Member
- Mar 14, 2012
- 166
- 56
Wakati sakata hili linaanza, kuna uzi ulibandikwa humu, nami nikachangia nakusema, kwamba they nilivyo wasikia bwana mwigulu na bibi Anna makinda though it was thorough BBC radio, matamshi yao alionesha kabisa kuwa ile picha imetengenezwa, mra baada ya Mwigulu tu kueleza concern yake, yule mama akadakia fasta, issue inayo husisha kifo isingekuwa vile hata kidogo, wanaongea kwa kujiamini as if sio suala la mtu kutishiwa kifo na pia before Dr Slaa na G. Lema (may be kwasababu wao sio wabunge) na Mnyika kutishiwa kifo, huyu mama wala hakuonesha chochote, as if there is nothing going on. Poor magamba na style zenu za kizamani!