Jinsi ya kuchonga SMS kama ushahidi kwenye kesi mbali na kifaa anachosema Mabere Marando

Wakati sakata hili linaanza, kuna uzi ulibandikwa humu, nami nikachangia nakusema, kwamba they nilivyo wasikia bwana mwigulu na bibi Anna makinda though it was thorough BBC radio, matamshi yao alionesha kabisa kuwa ile picha imetengenezwa, mra baada ya Mwigulu tu kueleza concern yake, yule mama akadakia fasta, issue inayo husisha kifo isingekuwa vile hata kidogo, wanaongea kwa kujiamini as if sio suala la mtu kutishiwa kifo na pia before Dr Slaa na G. Lema (may be kwasababu wao sio wabunge) na Mnyika kutishiwa kifo, huyu mama wala hakuonesha chochote, as if there is nothing going on. Poor magamba na style zenu za kizamani!
 
Je, una issue yoyote iwe katika nyanja ya kisheria, kijamii, kisiasa, au kiteknolojia ambayo imekusumbua hata umeshindwa kupata jawabu au suluhisho na hata wakati mwingine kutamani kujinyonga? Usipate tabu, kuna tumaini! Irushe JF utapata majibu kwani JF haijawahi kushindwa.

Mh. Mnyika, majibu ya SMS ndio hayo. Jengeni hoja kwa wananchi na Bungeni juu ya upuuzi huu na namna ya kuutokomeza kwa usalama wa taifa letu na wananchi wote.

Ukimwacha Mungu, JF ndipo naweza kupata majibu ya maswali magumu yanayonisumbua tena free of charge. Long live JF. Ha ha ha ha ha!
 
hii ki2 ni trik yakitoto sana haingii akilini kwa mb kama mnyika anayejua sheria vizur amtumie msg nchemba inayomtishia uhai wake ili hali mb mnyika anajua copy ya msg itabaki kwenye sim mwingulu, mim siwez kubaliana na triki zaifu kama hii, namshaur mwingulu arudi tena studio ajipange
 
Yana mwisho haya tena mwisho wake mbaya sana kwenye hili. CCM hawawezi ruka hata hatua moja. Dhambi hii itawatafuna milele.

Ukiipenda CCM ujue lazima Uende MOTONI.
 
vya kawaida hyo simu yangu nayotumia na huo uwezo wa kuandika sms nikairudisha kwenye inbox kwa jina nalo taka nililo save kwenye simu yangu na kwa number yeyote nayotaka rahisi sana kwa hyo nchemba ajiandae kivingine
 
Hii hufanywa na makampuni ya simu makao makuu kama ifuatavyo؛mf. Mnyika na nchemba
1.kufunga mawasiliano kwa mlengwa aliyedhamiriwa kupakaziwa kesi(network low au unavailable at all) line ya mnyika.
2.kuifunga line husika(block line)(mnyika)
3.kuchukua line mpya na kuipa access ya number ileile ya mlengwa(swap)
ikiwa na deteils za mnyika
4.kutuma sms(kwa ushahidi) au au kutoa vitisho kwenda kwa mlalamikaji(toka kwenye hii line ya mnyika asiyoijua kwenda kwa nchemba),hii huwa na details za mnyika mf.sms yenye tarehe,siku mwaka na muda,ushahidi tosha mahakamani.
5.kufunga hii line mpya(mnyika feki) iliyotumika baada ya kufanikisha na kuwa na uhakika kwa kilichofanyika,hapa mlengwa haelewi nini kinaendelea
6.kuirudisha line ya mlalamikiwa(mnyika) na kuipa full network(swap).
7.kesi kufunguliwa wakiwa na ushahidi tosha unaokutia hatiani.
Note;si wote wanaokwenda jela ni wahalifu wengine ni michezo michafu kama hii

Wakuu yote yanawezekana,kwa makampuni ya simu kuhusika sidhani,ila inawezekana kukawa na mashine inayorun na ikainteract na network yeyote ikafanya shughuli hyo,vilevile siku hzi hata kwenye net,kuna site za ajabu,mfano waweza tuma text ukaweka namba ya mtu mwingine kama ndiye sender au message ikaenda na isimhusishe sender ikaja kama international number ambayo mpokea sms ataipiga mpka basi lakini ni created number,pengine tungoje tusikie zaidi
 
Hii hufanywa na makampuni ya simu makao makuu kama ifuatavyo؛mf. Mnyika na nchemba
1.kufunga mawasiliano kwa mlengwa aliyedhamiriwa kupakaziwa kesi(network low au unavailable at all) line ya mnyika.
2.kuifunga line husika(block line)(mnyika)
3.kuchukua line mpya na kuipa access ya number ileile ya mlengwa(swap)
ikiwa na deteils za mnyika
4.kutuma sms(kwa ushahidi) au au kutoa vitisho kwenda kwa mlalamikaji(toka kwenye hii line ya mnyika asiyoijua kwenda kwa nchemba),hii huwa na details za mnyika mf.sms yenye tarehe,siku mwaka na muda,ushahidi tosha mahakamani.
5.kufunga hii line mpya(mnyika feki) iliyotumika baada ya kufanikisha na kuwa na uhakika kwa kilichofanyika,hapa mlengwa haelewi nini kinaendelea
6.kuirudisha line ya mlalamikiwa(mnyika) na kuipa full network(swap).
7.kesi kufunguliwa wakiwa na ushahidi tosha unaokutia hatiani.
Note;si wote wanaokwenda jela ni wahalifu wengine ni michezo michafu kama hii

Right kabisa,mkuu maana hata mimi nilikuwa nadought inakuwaje,ila kwa maelezo nimepata mwanga wa 100% CDM tuna vichwa sana.
 
Hii hufanywa na makampuni ya simu makao makuu kama ifuatavyo؛mf. Mnyika na nchemba
1.kufunga mawasiliano kwa mlengwa aliyedhamiriwa kupakaziwa kesi(network low au unavailable at all) line ya mnyika.
2.kuifunga line husika(block line)(mnyika)
3.kuchukua line mpya na kuipa access ya number ileile ya mlengwa(swap)
ikiwa na deteils za mnyika
4.kutuma sms(kwa ushahidi) au au kutoa vitisho kwenda kwa mlalamikaji(toka kwenye hii line ya mnyika asiyoijua kwenda kwa nchemba),hii huwa na details za mnyika mf.sms yenye tarehe,siku mwaka na muda,ushahidi tosha mahakamani.
5.kufunga hii line mpya(mnyika feki) iliyotumika baada ya kufanikisha na kuwa na uhakika kwa kilichofanyika,hapa mlengwa haelewi nini kinaendelea
6.kuirudisha line ya mlalamikiwa(mnyika) na kuipa full network(swap).
7.kesi kufunguliwa wakiwa na ushahidi tosha unaokutia hatiani.
Note;si wote wanaokwenda jela ni wahalifu wengine ni michezo michafu kama hii

Kwa nijuavyo mimi,pamoja na kuwepo kwa uwezekano wa kufanyika hili lkn hakuna Mtu mwenye akili timamu anayeweza kutumia technique ya kizembe kama hii eti "Swap"....Swap zote zinaonekana kwenye system,kama Mnyika amesakiziwa hili anaweza kuangalia katika history ya umiliki wa line yake kama kuna Swap ya aina yeyote iliyowahi kupita without his concern...mfano mimi jana asubuhi line yangu ilikufa ghafla ksbb nilikuwa na vijisenti kidogo kwenye Tigopesa nikawahi Tigo na kitu cha kwanza ku'check ilikuwa kuangalia kama kuna Swap iliyofanyika asubuhi ile na kusababisha niondoke hewani ghafla,baada ya kuona hakuna kitu kama hicho kilichofanyika nika'renew line yangu na kila kitu (Credit na Salio la Tigopesa) vilikuwa viko safe.
 
hii ni ngumu maana itabidi wafanye na forgery ya IMEI ya simu ya mnyika na hapo ndipo penye ugumu maana hiyo kitu huwa recorded automatically na system.

Walivyo mafia, watasema kwani mnyka ana handset moja ambayo ni fixed kwenye hiyo line ili IMEI iwe hiyohiyo? Hii mijitu bwana, ni Mungu tu awaadhibu ndio watakoma
 
Ni mbunge gani mjinga kiasi cha kumtishia mwenzake kifo kwa ku2mia no yake?? Kwa kweli cdhani kama yupo, huo ni mchezo umechezwa tu hapo!! Magamba mtashindwa vibaya sana.
 
Makampuni ya simu huwa hayahusiki kabisa, na wala sms zenyewe huwa hazipitii kwenye mitandao yao. Ni mchezo fulani wa wajanja. Hakuna cha kifaa toka Israel wala nini.
Amiliki wewe ni hewa kabisa! Unapokataa uwepo wa kifaa basi tuelimishe hao wajanja wako wanafanyaje, huna idea unakataa za wenzio, we vipi?!
 
Hii hufanywa na makampuni ya simu makao makuu kama ifuatavyo؛mf. Mnyika na nchemba
1.kufunga mawasiliano kwa mlengwa aliyedhamiriwa kupakaziwa kesi(network low au unavailable at all) line ya mnyika.
2.kuifunga line husika(block line)(mnyika)
3.kuchukua line mpya na kuipa access ya number ileile ya mlengwa(swap)
ikiwa na deteils za mnyika
4.kutuma sms(kwa ushahidi) au au kutoa vitisho kwenda kwa mlalamikaji(toka kwenye hii line ya mnyika asiyoijua kwenda kwa nchemba),hii huwa na details za mnyika mf.sms yenye tarehe,siku mwaka na muda,ushahidi tosha mahakamani.
5.kufunga hii line mpya(mnyika feki) iliyotumika baada ya kufanikisha na kuwa na uhakika kwa kilichofanyika,hapa mlengwa haelewi nini kinaendelea
6.kuirudisha line ya mlalamikiwa(mnyika) na kuipa full network(swap).
7.kesi kufunguliwa wakiwa na ushahidi tosha unaokutia hatiani.
Note;si wote wanaokwenda jela ni wahalifu wengine ni michezo michafu kama hii
do u know every mobile phone has a ID?) we can have same mobile phone, same model but defferent ID?
 
Sasa leo tena nimepata elimu nyingine asante wakuuu sio kuleta umbea jamvini. Tunataka vitu kama hivi
 
kama mtu akiwa seriouss inawezekana, kucompose sms na kuandika scripts ktk sms service providers side na kuweza kuedit almost every field in the table.kabala ya kuforward hiyo sms bila system kuacha eveidenc za wazi.Mradi tuu anayefanya awe na admin access,na najaua table zote zinazotakiwa fanyiwa mabadiliko.Hapa labda wahusika wapitie system log ya operating system, ambayo nayo inategemea kama jamaa walifanya back up na kurestore data katika server tofauti within server farm.sms na emails ni files ambazo zina structure ya kama ya db na regardless ya transport format,somewhere someone with right resources can manipulate data in between.Mbaya sms si encripted wala hashed kuweza zuia watu wasizisome na kwa vile si hashed hata mtu aki intersect na kuibadili upande wa pili hauwezi jua kuwa kuna editin imetokea.

Pia mobile phone zina code kibao zinazoweza futa msg baada ya kuisoma ifikapo kwa muhusika, pia kuwa technology ya kuweza hijack simu ya mtu n akusimulate kila kitu remotely.Watu wanaweza mpigia mtu bila kuita wala vibrate na simu ikajipokea silently huku attacker akaweza sikiliza mazungumzo, access camera, copy things like contacts, appointments etc.

Hakuna sekurity inayojulika kuhusu haya, ndio maana kwa wataalamu hairuhusiwi kuingia na simu hata ukiizima katika vikao vya siri.Kwa mwenye nia anaweza iwasha simu kwani kuzima simu ni kama kuiweka katika kuiweka hybernation.Manufacturers wameweka code maalumu kwa mambo yote haya.Wengine wamejaribu kuzima na kutoa betri katika simu angalau kuwa sure kuwa simu zao hazipo hewani ,na hiii ipo hata kwa simu simpe na za bei rahisi ila kwa smart phones ndio kuna uwanja mkubwa sana. Kuna siri nyingi sana katika dunia ya espionage.Wenzetu wanajua kuwa someday maadui zao watatumia technologies zao kuwaangamiza,kwa hiyo wanaweka mazingira sahihai kwa in the future ndio maana hatuwezi kosa kusikia bugs na holes nyingi ni intentional.

NI ccm tuu ndio hawan amalengo ya muda mrefu, wanatengeneza mikataba na wawekezaji bila loophole ya kuuvunja,wakati wawekezaji wanaweka loopholes za kujilinda na kutengeneza hela za kutosha lipa mikopo yao yote na hela ya kutosha kwenda tengeneza maisha kwingine na ikibidi kurudi ten akwa njia ingine.

Kuna tools za kuintrude sime kupitis blootooth, install software za kusimulate keypad functions, na baadaya ku uninstall na kurelease resources. Smart person akiziangalia hizo sms bila hata kwenda kwa hao jamaa wa simu ambao hata mahakama zetu zikiwapa amri watapeleka mahakami kitu wakipendacho na walicho edit, na hata wakiruhusu mtaalamu wa nje aje kuna uwezekano akawa hafahau hizo system zao, au hata wakalindwa n amahakama kwa vurugu kama za makinda na bunge.Nadhani CDM wanaweza wabana Akina migulu mahakamani kuwa eveidence za SMS si authentic enough, na kuta counter examples zinazoweza thibitishwa na mahakama.Kwani duniani kote kuna nchi kibao haziamini sana ushahidi wa Video au hata sauti.Bila kuwepo na report ya kitaalamu kuthibitisha kuwa haijaforgiwa
 
Kumbuka hayo makampuni ya simu tana linkage na mafisadi so yanaweza kuwasaidia kufanikisha ufiraun wao
 
hii ni ngumu maana itabidi wafanye na forgery ya IMEI ya simu ya mnyika na hapo ndipo penye ugumu maana hiyo kitu huwa recorded automatically na system.
Unaweza ukadhani ni ngumu ila mie ilinitokea kabisa mwaka 2008 ambapo kuna kipindi nilikuwa nina matatizo sana ya network after like two weeks nikawa napigiwa simu na watu tofauti wakiniuliza kwa jina lingine ambalo si langu kwa kipindi cha mwezi mmoja. Nilienda kwenye ofisi ya hiyo kampuni kuwaelezea tatizo langu na wakaniomba radhi kwa kuniambia namba yangu ilitengenezwa na kuuzwa kimakosa. Wakaniomba kama ikiwezekana wanipe namba nyingine, nilikataa nikawaambia kama haiwezekani kurudisha namba yangu basi sihitaji namba nyingine kutoka kwao. Walichukua simu yangu sijui aliifanya nini tena nikaona alikuwa anaandika kitu pia kwenye computer akaniambia mpaka jioni nianze kutumia kama kawaida na sitapata usumbufu wa kukatikiwa network au namba kuingiliana na watu wengine. Problem was solved mpaka leo natumia line hiyo hiyo.
 
Saivi watu wamefunguka akili naona post nyiingi za spoofing wengine wanajidai kuwa na program,wengine machine loh! Kweli wabongo wezi
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom