snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,710
- 23,646
Duh katika posts ambazo zina positive influence katika jamii ni pamoja na hii. Naamini mtunzi au mwandishi atakuwa amevuviwa na Roho Mtakatifu.
My No ONE post of 2012, mnaonaje snowhite, Kongosho, SnowBall, HorsePower na bingwa wa cheating The Boss
wala si utani mamii!
nimehisi kusisimkwa mwili na haya yaliyoandikwa humu!
alienda wapi huyu mtu! Allien popote ulipo will yu please come for a drink!japo hata chai ya mkandaa walahi!
dah!
natamani niibandike ofisini kwangu,nyumbani kwangu,kanisani kwangu,nyumbani kwetu,kwa marafiki zangi kwa adui zangu,kwa mashosti zangu,kwa mashemeji zangu,kwa wifi zangu na woote!natamani kila mtu awe nayo moyoni mwake!natamani kila mtu aisome na kuiishi hii mistari!natamani kila mtu aelewe huyu mtu alimaanisha nini !
MUNGU AWABARIKI WOTE WANAOPITA KWENY HIKI KIPINDI A BADO HAJAPATA A BREAKTHROUGH! NAJUA NDANI WANAUMIA KIASI GANI!lakini kuna siku naamini watafika kwenye hii point!
Last edited by a moderator: