Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,004
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo kila kitu kinachukuliwa na kupelekwa kisiasa kama tu kitakuwa kinawanufaisha Watawala.
Tanzania ni nchi pekee ambapo Polisi nao eti wanaitwa "JESHI" na hiyo ndiyo inayopelekea na wao kujiona kwamba ni Jeshi na kupelekea hata Kuua wakijihisi kwamba wako vitani.
Kwa uelewa wangu ni kwamba Polisi halipaswi kuitwa Jeshi labda kama wanataka jina la ziada basi waitwe RAIA WAKAKAMAVU.
NAWAKILISHA