TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 1,836
- 5,206
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!
2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.
Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!