Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.

Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI

1. MLANGO

Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!

2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.

Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
 
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,bKwangu mambo yote ni Shega tu!.

Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI

1. MLANGO

Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!

2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.

Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
Mpigamiti ipo liwale
 
1. Kipenda Urembo ( huyu tulisoma nae Primary School. Jina Lake ni Kipenda na la baba yake ni Urembo)

2. Kufahaidhuru (tulikutana nae eneo la kazi yeye alikuwa ofisi nyingine. Sasa sikupata kuuliza kama hilo ni jina lake pekee ake au na la baba yake)
 
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.

Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI

1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani alikuwa akiitwa Mlango,mwanzo nilishangaa sana lakini baadae nikazoea,sijajua hadi leo kama anatumia hilo jina baada ya kuwa mtu mzima au alibadiri!

2. MPIGA MITI
Kuna mahali nilienda kufanya kazi na maeneo ya jirani na tulipokuwa tunafanya kazi moja wapo lilikuwa likiitwa Mpiga miti!.

Mwanzo nilishangaa sana serikali ya eneo husika inawezaje kuita jina la ovyo kiasi hicho lakini nikaja kugundua pia watu wa huko walishalizoea jina hilo na kuonekana la kawaida!
Chizi Maarifa
 
Alikama bakari ,jina lake alikama jina la baba bakari,kiumbehai zaidi, jina lake kiumbehai baba zaidi, zitumulike wote nilisoma nae primary, secondary,break taakali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom