Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Mkuu kwa hali ilivyo sasa Segerea CCM kushinda is next to imposssible

Nakushauri jikite namna ya kukabiliana na kichaa wa kuzaliwa Lusinde ukawakomboe wanaMtera

Labda kama unataka kuongeza CV yako kwa namba za kushindwa kwenye michakato ya chaguzi
Kama Mungu angemjalia kuijuwa mioyo yetu wakazi wa Jimbo la Segerea sidhani hao wanaomdanganya kama angewaona ni watu wa maana.
Nakumbuka wiki chache baada ya uchaguzi nilikwenda tabata kuna kina Mama walinilaumu sana na kunikejeli kwamba Makongoro licha kuchakachuwa ni kwa nini alipigiwa kura nyingi vile!!?? wakatulamu sana kwamba kata yetu imejaa mambumbumbu.

Yaani wao walichotaka kusikia ni kama kile kituo cha kata anayoishi Makongoro pale Segerea Makongoro aliambulia kura 3 na Diwani aliyeshinda ni wa Chadema.

Kwahiyo kwa lugh rahisi kata ya Segerea anayoishi Makongoro ndiko hapendwi zaidi kuliko kata nyingine yoyote, asikudanganye mtu joto la mabadiliko liko juu sana kuliko unavyoweza kudhani.
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!
Es!

- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ! ha! ha! ha! ha! ha!

Yaani mbavu hoi bin taabani…Nakuomba FMES usirudie tena hii sinema…kidogo Boss anitwange barua sababu ya kituko chako!

Ushauri kwa CDM:
Kina Ben na kundi zima, kuweni watu wa fadhira. Pamoja na hilo neno demokrasia angalieni pia na utu. Jitihada iliyofanywa na Mpendazoe si ya kutuzwa kwa kushindanishwa tena ndani ya chama. Ninahakika angegombea Mashishanga 2010 hata mahakamani msingekwenda. Mahanga angeshinda na kusingekuwa na kesi wala kufutwa kwa uchaguzi.

Kwa upepo ulivyo, Mpendazoe ana mtaji wa kutosha kushinda tena Jimbo la Segerea. Wapeni kazi kina Amin Mgheni ya kumarisha umoja, na mpeni kifuta jasho Mpiganaji, Mzee wa Watu Mpendazoe. Kiukweli mkimtosa kama chama, itajeruhi mioyo ya wengi wanaojitolea moyo, hali na mali katika ukombozi.

Ni hayo tu.
 
Naishi Segerea, ni mjumbe wa kamati ya Utendaji-CHADEMA jimbo la Segerea. Ukweli unabaki palepale, CCM wakae pembeni, si lazima wasimamishe mgombea hata wanapojua watashindwa.. Bora huo muda waendelee kujirekebisha kwa yale ambayo ndani tu ya chama chao wameshindwa kuyaweka sawa.

Nawasilisha.

Mwakifulefule?
kama ndo wewe ni-Pm nakutafta sana.
 
Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!

thanx kumpa fact,kwani lazima uwe politician will,babako alishakuwa,hatutaki ufalme.afteraw pltic ni talent..nlivyokuona ukiwa bungeni juzi ndugu yangu siasa c saizi yako.
 
Yeah ukigombea kwa CHADEMA kule Mtera unachukua jimbo na si Segerea, kule Segerea kuna wenyewe.
Kule asipo simama Fred Mpendazoe basi anasimama Rachel Mashishanga
Jitahidi kuwa makini unapopost, Rachel Mashishanga tayari ni Mbunge wa viti maalum Chadema na yuko Bungeni, lakini kwa sasa si aina ya mbunge tunayemuhitaji kwa ajili ya jimbo. uwepo wake Bungeni ni sawa na hakuna mtu, sijaona tija yake.
 
thanx kumpa fact,kwani lazima uwe politician will,babako alishakuwa,hatutaki ufalme.afteraw pltic ni talent..nlivyokuona ukiwa bungeni juzi ndugu yangu siasa c saizi yako.

Thanks maana usingesema na wewe mimi ningeonekana nina chuki binafsi.
hafti kbs ktk politiki.
 
Usije Segerea. Nenda tu Mtera ukamwondoe mbaya wa baba yako. Huko tunaweza kukusapoti
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!

Es!

KUna kitu hapa kati ya mpendazoe na CCM. Yaani mtu afungue kesi ya mdai na Alipe 15M gharama ya kesi halafu, huyu mbunge wetu wa ELA anatabiri kuwa atawekwa mwingine? CDM nadhani mnatukumbuka bado kwenye ile saga ya Rachel V/s Mpendazoe na nini kilitokea
 
Naishi Segerea, ni mjumbe wa kamati ya Utendaji-CHADEMA jimbo la Segerea. Ukweli unabaki palepale, CCM wakae pembeni, si lazima wasimamishe mgombea hata wanapojua watashindwa.. Bora huo muda waendelee kujirekebisha kwa yale ambayo ndani tu ya chama chao wameshindwa kuyaweka sawa.

Nawasilisha.
Siyo kazi ya kuja kujitamba hapa kwenye keyboard ,mnakumbuka uzembe mliofanya kwa kutokuwa na mtandao mpana wa kutoa sapoti pale CCM ilipoanza kupora ushindi wa madiwani hasa kata ya Kiwalani? mlikuwa mnafanya nini mpaka siku 4 diwani hajatangazwa na akachakachuliwa na mpaka leo hakuna mkutano wa hadhara uliofanyika angalau muwaeleze wapiga kura ni nini kiliendelea, au mnatergemea Gervas ndio wa kufanya haya yote?
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

sijakuelewa Willy' unaposema jimbo lako ni kwamba utalichukua au? Kama umezaliwa pale na maneno yamesema hilo ndiyo jimbo lako' kwahiyo bwana matusi Lusinde alilaxy tu' au unamaanisha nin ndugu!
 
KUna kitu hapa kati ya mpendazoe na CCM. Yaani mtu afungue kesi ya mdai na Alipe 15M gharama ya kesi halafu, huyu mbunge wetu wa ELA anatabiri kuwa atawekwa mwingine? CDM nadhani mnatukumbuka bado kwenye ile saga ya Rachel V/s Mpendazoe na nini kilitokea
Huyo kuropoka ni kawaida yake, mambo ya Segerea mtuachie sisi tumeshaamuwa hapa CCM kurudi kwenye himaya hii itabakia kuwa Historia.

Mpendazoe hizo Millioni 15 hajatoa hata shilling bali ni michango ya wapenda haki unless kuna vitu vingine unamis understand, lakini Segerea tuko tayari kwa ajili ya Uchaguzi na Mpendazoe ndiyo mgombea wetu hawezi kudhurumiwa haki yake.
 
Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu likiitwa Ukonga, usikubali kuingizwa Mkenge eti uje kuchukuwa fomu kwenye kura za maoni za CCM, you will regreat.

CCM haiwezi kushinda katika jimbo la Segerea zaidi ya kata moja tu ya Kinyerezi ambapo kwa ukweli wa nafsi kuna kazi imefanyika na inaonekana, lakini si nje ya kata hiyo.

Hakuna wana CCM wanafki kama hawa wa jimbo la Segerea, hawasomeki na wala hawaaminiki ni Makongoro Mahanga peke yake ndiyo aliyeza kuzimudu fitna za wanaCCM wa jimbo hili.

Rupia alipokuwa mbunge wetu alikuwa ni mtu mmoja safi sana lakini aliundiwa zengwe na waswahili eti kwamba alisema ni pesa zake ndio zilimchaguwa.

Nakuonya tena kama una plan ya kugombea Segerea sahau hicho kitu, maana hutoweza kupita ndani ya CCM na hata ukiweza kupita huwezi kushinda siyo wewe tu hata aje mwana CCM gani, tuna hasira kubwa ya maamuzi yetu 2010 kudharauliwa na NEC.

Ni kweli kabisa wana Segerea tuna uchungu mkubwa huyu baharia naona anaota ndoto za mchana.
Ila mkuu naomba nitofautiane na wewe kidogo kuhusu kata ya Kinyerezi,kwa sasa hii ni kata rahisi
kuchukuliwa mikononi mwa Magamba kuliko zote.Yule mama yupo kwa maslahi yake tu watu wa
Kinyerezi ,Kibaga na Kifuru mpaka leo tunaishi kwa mashaka kwa kunyanyaswa na manispaa ya Ilala
kwa kutaka kutuondoa kwenye maeneo yetu na yeye kama diwani anawasapoti manispaa,kwa sababu
ameahidiwa kupewa viwanja.
 
Katika hali ya kusikitisha na kushangaza, ccm wamejipanga vilivyo kupitia mahakama za kichama (gachacha) kubatilisha matokeo ya majimbo mawili chini ya makamanda Mnyika na Lissu na kusurrender jimbo la segerea, hii inakua kama kamchezo cha kekundukekundu kwa waTz ili tuone CDM tumetendewa haki segerea kumbe wametumaliza Ubungo na Singida mashariki, shime waTz tusiukubali mchezo huu.
 
Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ! ha! ha! ha! ha! ha!

Yaani mbavu hoi bin taabani…Nakuomba FMES usirudie tena hii sinema…kidogo Boss anitwange barua sababu ya kituko chako!

Ushauri kwa CDM:
Kina Ben na kundi zima, kuweni watu wa fadhira. Pamoja na hilo neno demokrasia angalieni pia na utu. Jitihada iliyofanywa na Mpendazoe si ya kutuzwa kwa kushindanishwa tena ndani ya chama. Ninahakika angegombea Mashishanga 2010 hata mahakamani msingekwenda. Mahanga angeshinda na kusingekuwa na kesi wala kufutwa kwa uchaguzi.

Kwa upepo ulivyo, Mpendazoe ana mtaji wa kutosha kushinda tena Jimbo la Segerea. Wapeni kazi kina Amin Mgheni ya kumarisha umoja, na mpeni kifuta jasho Mpiganaji, Mzee wa Watu Mpendazoe. Kiukweli mkimtosa kama chama, itajeruhi mioyo ya wengi wanaojitolea moyo, hali na mali katika ukombozi.

Ni hayo tu.

Big Up EL, kiukweli nikiwa mkazi wa Segerea naomba nitoe onyo kwa CDM wasithubutu narudia "MSITHUBUTU" kubadilisha
mgombea ikiwa uchaguzi utarudiwa,tuendelee kumuombea jaji atoe maamuzi tunayotamani kuyasikia tar.02.05.
Ila kiukweli pamoja na kuichoka CCM lakini akibadilishwa MPendazoe tusilaumiane.C I A O
 
Bado hawajakomaa tuu,walivyomuondoa Lema,hivi wao hasira za wananchi kuhusu wao haziwatingishi kweli bado wanasema ni upepo haya bwana yetu macho nadhani mwisho wao upo karibu
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Kwa mara ya kwanza leo nimekupa LIKE! nitapenda zaidi ukigombea wewe kuliko mahanga
 
tufanyeje sasa kama kambi kanyea nwenyewe, kwanza lile la madaktari lilipaswakuanguka naye, ni bahati kweli kalindwa mpaka leo, napenda sana hili lifike mpaka kwa raisi.maisha magumu mno miaka 3 iliyobaki haitaisha tutakufa!!!!!!waondoke wote!!!
 
ila le mutuz una roho ngumu,
drive yako sijui,
but whatever you plan won't kick-start as long as you stick with mafisadi!
You know your options.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom