Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

Kaka Bado tu hujakoma! Magamba wenzio kwanza hawakutaki. Ukija huku CDM pia hawawataki Wanafiki. Shetani hakutaki, Mungu kakukataa, sijui utakwenda wapi? Mbona kazi zipo nyingi, kwani lazima uwe mwanasiasa!

Mkuu una ugomvi nini na Baharia?
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Le mutuz ha ha ha ha ha ha ...... gombea tena upigwe chini tena kama Africa mashariki
 
Magamba hawakubaliki sana jimbo la Segerea ni sawa na kibaka tu.
Katika kata 8 za Segerea CCM inaweza kuongoza kata 1 tu ya Kinyerezi na hiyo itategemea Chadema wamemsimamisha nani, maana Kinyerezi Waswahili wengi wameshahamishwa kule na wakaazi wengi ni wakuja na isitoshe Kinyerezi inaungana na Kimara na mbezi kwahiyo hata wao wakaazi wa Kinyerezi sasa watafahamu kwamba hatakiwi tena mbunge wa magamba.

Maana lengo kuu tunataka iwe ukipanga mipango ya maendelo ya Kimara na kinyerezi Bonyokwa basi inabidi umuite Mnyika na mbunge mpya wa Chadema tutakayekabidhi jimbo la Segerea then mnakaa nao kikao cha pamoja.
 
Willy unapochokoza mada kama hizi usikimbie kaa hapa tukufunde ili uwe na uwelewa wa kile unachotamani au kutaka kukifanya uwe na uhakika nacho.

Jimbo la Segerea ukiwa kama mgombea wa CCM kuna kata za Vingunguti, Buguruni, kipawa na kiwalani, kihistoria hili jimbo ni la Waswahili wa pwani hasa hizi kata nilizokupa orodha yake hizo kata kwa wanaCCM uzaramo na Uislamu ni moja ya advantage ya mgombea.

Kwa ninavyowafahamu mimi wanaCCM wenzako kwa jimbo hili unatwanga maji kwenye kinu, kuna mtu mmoja anaitwa Joseph Kessy yeye ndiyo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya Maendeleo ya Tabata na Tabata unayoina leo ni mchango mkubwa wa Joseph Kessy lakini amegombea mara 2 mfululizo na huyu Makongoro hakufuwa dafu.

Sifa kuu na umahiri wa Makongoro anawafahamu fika wanaCCM wa jimbo hili kwahiyo yeye huwa anawaandalia bahasha zao basi mchezo unakuwa umekwisha

CCM jimbo la Segerea sasa hivi iko vipande vipande wana siasa za makundi kuliko CCM ngazi ya Taifa tofauti tu ni kwamba wao hawapati coverage ya media.

Usitake kuvuna ambacho haujakipanda nakushauri ufanye research kule kwenu Mtera tatizo lao kubwa ni nini na uanze kuwatatulia hayo matatizo kabla hata ya kugombea, hii ndiyo njia aliyoitumia George Simachawene kule kwao Kibakwe licha ya kwamba yeye tunaishi jimbo moja la Segerea na anakaa kata ya Vingunguti.

- Saafi sana ninasikiliza, finally unaongea Great Thinking, saafi sana!

Willie @DSM City!
 
Katika kata 8 za Segerea CCM inaweza kuongoza kata 1 tu ya Kinyerezi na hiyo itategemea Chadema wamemsimamisha nani, maana Kinyerezi Waswahili wengi wameshahamishwa kule na wakaazi wengi ni wakuja na isitoshe Kinyerezi inaungana na Kimara na mbezi kwahiyo hata wao wakaazi wa Kinyerezi sasa watafahamu kwamba hatakiwi tena mbunge wa magamba.

Maana lengo kuu tunataka iwe ukipanga mipango ya maendelo ya Kimara na kinyerezi Bonyokwa basi inabidi umuite Mnyika na mbunge mpya wa Chadema tutakayekabidhi jimbo la Segerea then mnakaa nao kikao cha pamoja.

- So unasema kama nikigombea na tiketi ya CDM nitakuwa na nafasi kubwa kuliko CCM is that right?

Willie @DSM City!
 
- kwa maneno mengine ni jimbo langu, i grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, i pray for my good friend mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @dsm city!
hahahha mkuu wewe subiri 2015 mtera huku utaaibika mkuu!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
itategemea unagombea kwa chama gani mkuu duru za kisiasa kwa wakati zinaonyesha hata baba wa taifa j.k akirudi leo hii akigombea kupitia ccm hata udiwani hapati samahani kwa kukupa taharifa hiyo inwezekana upo nje ya nchi ujui kinachoendelea hapa nyumbani
 
Le mutuz ha ha ha ha ha ha ...... gombea tena upigwe chini tena kama Africa mashariki

- Weee mtoto tambaa tu kama hukuchubuka magoti, sasa bila kutambaa nani angeweza kutembea Duniani? I mean Great Thinker mbona unaongea fear? Unaniogopa na wewe? Daaamn!

Willie @DSM city!
 
Dodo wille,ingawa bonge, kiukweli ni kwamba wewe c mwanasiasa wa ukweli kama unavyodhani. Unachokitegemea kama ngazi ya kupandia kisiasa ni jina sirname yako "MALECELA" na unamtegemea mzee Malecela zaidi kuliko uwezo wako. Na watu kama wewe mpo wengi , mfano mzuri ni pa1 na Nape "NNAUYE" Adam "MALIMA Amani na ndugu yake "KARUME" Vita "KAWAWA" Na hata watoto wa mzee Mwinyi raisi mstaafu. Huna mvuto,labda hapa JF.
 
Mkuu kwa hali ilivyo sasa Segerea CCM kushinda is next to imposssible

Nakushauri jikite namna ya kukabiliana na kichaa wa kuzaliwa Lusinde ukawakomboe wanaMtera

Labda kama unataka kuongeza CV yako kwa namba za kushindwa kwenye michakato ya chaguzi
 
W.J Malecela huwa akiingiza comment zake kwenye thread yeyote lazima ifikie page 10 au 15 kwanini asigombee ubunge hapa JF Wiliam nakuomba uanzishe thread inayohusiana na kinachoendelea bungeni sasa hivi utoe na comment zako
 
WJM,
Unalifahamu Jimbo la Segerea? Lina KATA ngapi? Zitaje. Nitajie angalau madiwani watatu tu kwenye kata hizo. Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Segerea ni nani?
 
- So unasema kama nikigombea na tiketi ya CDM nitakuwa na nafasi kubwa kuliko CCM is that right?

Willie @DSM City!
Tatizo lako Willy bado unaishi kwa kuangalia kimvuli cha Baba yako wakati wewe unasahau tayari ni mtu mzima unayejuwa kupembuwa mazuri na mabaya na kama ungekuwa unajuwa japo kidogo kupima upepo wa kisiasa ni kwamba Jimbo la Ukonga (Segerea )halijawahi kupata mbunge bora zaidi ya Makongoro Mahanga.

Je ni kwa nini tulimuangusha Makongoro Mahanga kwenye last General election?

Ni kwamba kabla ya jimbo kugawanywa nadhani jimbo letu ndilo lilikuwa lina wapiga kura wengi kuliko jimbo lolote hapa Tanzania. sasa basi Makongoro alitalajia kwa jimbo kugawanywa ingekuwa yeye ni rahisi kwake kushinda kumbe alichokisahau kuanzia mwaka 2010 kauli mbiu ni kuiondoa CCM madarakani

Analysis yako inatakiwa ianzie hapa ni kwa nini Makongoro alikuwa na jimbo kubwa na alijitahidi kufanya kazi na mfano mzuri ni kata ya Kinyerezi na ni je ni kwa nini baada ya yeye Makongoro kupigania jimbo ligawanywe na likaganywa lakini bado tulimkataa kwenye sanduku la kura?

Simple mathematics, hapa hatuachezi sindimba hii ni vita na ushindi uko very clear ni hiari yako kuchaguwa upande either uko na sisi au uko na wao, lakini usituletee hadithi za kuleta mabadiliko ukiwa ndani ya CCM, otherwise nakukaribisha sana Segerea tukufundishe Siasa.
 
Dodo wille,ingawa bonge, kiukweli ni kwamba wewe c mwanasiasa wa ukweli kama unavyodhani. Unachokitegemea kama ngazi ya kupandia kisiasa ni jina sirname yako "MALECELA" na unamtegemea mzee Malecela zaidi kuliko uwezo wako. Na watu kama wewe mpo wengi , mfano mzuri ni pa1 na Nape "NNAUYE" Adam "MALIMA Amani na ndugu yake "KARUME" Vita "KAWAWA" Na hata watoto wa mzee Mwinyi raisi mstaafu. Huna mvuto,labda hapa JF.
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

1. Huna mvuto katika hoja I saw you that day on EALA

2. Mtoa rushwa as you declared kwa kusema hata upinzani wanapokea rushwa
3. Ili ushike ubunge pale maybe uwe mgombea wa kurithishwa but kwa kura za wananchi impocble and I swear on this.

4. Aaah heshima yako hapa JF ilishashuka by 89% so endelea kujifariji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom