Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

mkuu ninaishi Segerea tangu 1998.

CCM haitakiwi Segerea. Mahanga anajenga baa na gesti za kufanyia umalaya tu huku. Alitutukana wanaume wa Segerea. Eti tuna tabia kama mabaamedi. Na kusema kweli Mahanga alichakachua. HAKUSHINDA kwa herufi kubwa.
 
wewe ni mnafiki wa kutupwa hata yaani unamwombea mwizi. Nilikuheshim sana hapo nyuma lakin kwa sasa huna tofauti na nape nnauvye

- ha! ha! ha! kwa sisi politicians hii yako inaitwa changamoto! saafi sana kumbe mnaniogopa hivi, saafi sana kujua! ha! ha! ha! ha!

- Keeep it on!

Willie @DSM City!
 
Very few right now care about CCM well being in fact majority will applaud CCM Demise

By the way sikujua CCM wana plan B let alone Plan A.., Its always winning at all cost and playing rough including WIZI
 
Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu likiitwa Ukonga, usikubali kuingizwa Mkenge eti uje kuchukuwa fomu kwenye kura za maoni za CCM, you will regreat.

CCM haiwezi kushinda katika jimbo la Segerea zaidi ya kata moja tu ya Kinyerezi ambapo kwa ukweli wa nafsi kuna kazi imefanyika na inaonekana, lakini si nje ya kata hiyo.

Hakuna wana CCM wanafki kama hawa wa jimbo la Segerea, hawasomeki na wala hawaaminiki ni Makongoro Mahanga peke yake ndiyo aliyeza kuzimudu fitna za wanaCCM wa jimbo hili.

Rupia alipokuwa mbunge wetu alikuwa ni mtu mmoja safi sana lakini aliundiwa zengwe na waswahili eti kwamba alisema ni pesa zake ndio zilimchaguwa.

Nakuonya tena kama una plan ya kugombea Segerea sahau hicho kitu, maana hutoweza kupita ndani ya CCM na hata ukiweza kupita huwezi kushinda siyo wewe tu hata aje mwana CCM gani, tuna hasira kubwa ya maamuzi yetu 2010 kudharauliwa na NEC.

- Aaand what else? naona hujamaliza mkuu sana! ha! ha! ha! ha!


Willie @ DSM City!
 
Jimbo lako kama nani?Mpiga kura au mkaazi au mbunge au diwani?mbona sikuelewi wewe Baharia,
wakati mwingine uwe unaacha utani bana.kama unataka kugombea ubunge nimeshakwambia ukalichukue
lile jimbo la Mtera 2015 thu CDM tofauti na hapo utasikilizia ubunge kwenye tovuti tuu na mitandao mkuu

- Wacha uoga mkuu, unaniogopa hivi? WHY?

Willie @DSM City!
 
- Ha! ha! ha! ha! wacha uoga wewe! ha! yaaani unaiogopa hivi vipi ndugu yangu! ha! ha! ha!, tulia mkuu wangu!

Willie @DSM City!
Mtoto akililia wembe mpe, kama unadhani nilichokushuri sicho basi karibu sana na ukitaka anagalau ufurukute ndani ya kura za maoni za CCM kwenye jimbo hili zungumza vizuri na Dr Didas Masaburi, huyu ndIyo alikuwa kampeni Manager wa Makongoro tangu mwaka 2000 na anazimudu vyema siasa za majitaka za CCM.
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
wewe umekulia Segerea au Oysterbay? watu wengine bwana wakiona ulaji wako tayari hata kudai wameishi Mbagala...!
 
wewe umekulia Segerea au Oysterbay? watu wengine bwana wakiona ulaji wako tayari hata kudai wameishi Mbagala...!

- Ndio tofauti yetu hapa, mimi naongea nikiwa Segerea shambani kwangu, wewe unaonegelea nje ya jimbo na kujifanya unalijua sana jimbo kuliko mimi mkazi wake!

- Chairman Mao alisema: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!

Willie @DSM City!
 
Tulilalamika utabiri wa hukumu ya Godbless Lema na kudai ilikuwa na mkono wa CCM na serikali je utabiri huu kabla ya hukumu kama kweli atashindwa Mahanga itakuwa ni mkono wa nani?

Kwa jibu la harakaharaka utakuwa ni mkono wa chadema.

Tuache mahakama zifanye kazi yake kisha tutoe maoni yetu baada ya hukumu
 
Kwa hali ya sasa na wananchi wa Tanzania CCM haiwezi kushinda katika Jimbo la Segerea,tunasubiri kwa hamu motekeo ya kesi,ni kipimo ya hali ya juu kwa maakama zetu na majaji katika kutumikia watznania
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!
Mzee naona unavyohangaikia ajira zenye maslahi mazuri.
 
@ NYC City
@dodoma City
na sasa @ DSM City
usijadanganye mkuu, utaangukia pua na utakua hauna ubavu wa kwenda tena kwenu Mtera, bora utulie usubiri 2015, ukamng'oe Lusinde
 
- Ndio tofauti yetu hapa, mimi naongea nikiwa Segerea shambani kwangu, wewe unaonegelea nje ya jimbo na kujifanya unalijua sana jimbo kuliko mimi mkazi wake!

- Chairman Mao alisema: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!

Willie @DSM City!
unajua maana ya "kukulia" aka "grew up there"? ndo maaana ulishindwa Ubunge wa EALA maana hata uelewa wako ni mdogo! Kiufupi kukulia inahusisha na malezi ya utoto wako yaani ulilelewa huko! sasa wewe kipindi cha utoto wako ulikuwa tayari una nyumba sio? au babako Mzee Malecela alikuwa kashakujengea kipindi hicho! be logical mzee wewe nakuhakikishia hufurukuti huko, tia timu tuone!
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!


Es!

He! Wonders never cease.....
 
- Aaand what else? naona hujamaliza mkuu sana! ha! ha! ha! ha!


Willie @ DSM City!
Unamfahamu Kalanje, yule jamaa amenenepa mpaka makalio kwa ajili ya pesa za watu kama wewe, Willy hao waliokuzunguka wanakudanganya mwenzio Makongoro Mahanga licha ya kukaa Serikalini lakini uchaguzi uliopita ingawa sikumpigia kura lakini nilimsaidia mahala fulani kupata mkopo wa millioni kadhaa, maana alikuwa ameishiwa pesa kabisa ambao sasa umegeuka kuwa msaada maana hajalipa hata mia.

Sasa Imagine kama naibu Waziri anawahonga CCM wenzake mpaka anaishiwa pesa za kuhonga wewe huoni kama CCM siyo jukwaa sahihi?

Pili mimi nikiwa kama mtu mwenye ushawishi mkubwa ndani ya kata yangu ninachokifahamu hata wana CCM wengi wamebakia na kadi tu za CCM ili kupigia kura za maoni wapate mihururo (rushwa ) lakini utashangaa ukija uchaguzi wa wote hao hao wanageuka wanapigia Chadema.

Usije ukafanya kosa la kudanganywa na na idadi ya Reja ya wanachama ukadhani huo ni mtaji wa CCM utakuwa umepotea mno maana hata mimi Matola ninayo kadi ya CCM. watch out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom